nape

  1. S

    JamiiForums Tanzania Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

    SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika? Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nape: Membe alinisaidia kwa Rais Kikwete nikapewa u-DC

    "Nilipokosa ubunge wa jimbo la Ubungo, Mzee Membe akanifata na kuniambia tulia kijana wangu. Mwaka 2015 nitakuachia jimbo la Mtama mimi nitakuwa namaliza muda wangu. Kutokana na ukaribu wa Mzee Membe na Rais Kikwete nikapewa Ukuu wa Wilaya ya Masasi ambapo ni karibu na jimbo la Mtama" - Mh...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii watoto wa Lawi Sijaona Ngwanda wakipewa madaraka kama Nape, January na Ridhiwani Kikwete? Mbona hivi?

    WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani. Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa. Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu alipigiania uhuru wa taifa letu. Mbona hatusikii juu ya uzao wake kurithishwa madaraka. N.b Nape hana...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

    Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje. Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa sababu ya tamaa, wamezika taranta zao! Nape anakuwaje Waziri?

    Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri? Tanzania tuna tabu sana! Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Nape ataja sababu madeni ya TTCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametaja sababu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupata hati chafu mfululizo kuwa ni urithi wa matatizo ya hesabu za kifedha yaliyoanza wakiwa na mbia wao kabla Serikali haijarudishiwa umiliki wa shirika hilo. Nape...
  9. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ukurasa wa Twitter wa Nape Nnauye nani anausimamia?

    Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli. Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike) In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

    Nimemsikia Nape akisema na kutamba huku anapiga vijembe vikali awamu ya tano. Eti Bureau de change sio tu wamerudishiwa hela ila wameruhusiwa kuendelea. Wizara, taasisi za umma na mashirika ya serikali wameruhusiwa tena kuweka fedha mabenki badala ya benki kuu kwa hivyo ule uchafu wa serikali...
  13. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

    Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nape kauli zako na vitendo havioani ni kama Lila na Fila visivyotangamana

    Nape, Siku ya jana tarehe 06 Machi 2023 nimekusikiliza kwa kituo kila hoja uliyokuwa unaijibu katika kipindi cha Dk. 45 ambapo ulikuwa unatoa fafanuzi kwa masuala kadha wa kadha. Kwanza nikupongeze kwa kutimiza mwaka mmoja kwenye wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Ni mwaka...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Nape na January: dhihirisheni basi kwamba JPM aliwatema kimakosa!

    Mh Nape! Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi, Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  19. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mh. Nape anatetea makampuni ya simu kuliko wananchi kwanini?

    📌 Kuna sakata la bando.. kampuni za simu zinaweka limit jambo ambalo ni wizi kiukweli. 📌 hela ni yako na matumizi wanakupangia... kwanini kuna expire ya bando kama sio wizi mtupu. Bando linaishaje wakati ujatumia mbona vocha haishi mara tu unapoinunua? Na vocha expire yake ni mwaka.
  20. OLS

    JamiiForums Tanzania Nape, Marekebisho ya herufi yanaongezaje uhuru wa habari nchini?

    Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
Back
Top Bottom