jupiter001
Member
- May 25, 2023
- 44
- 72
Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA).
Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA.
Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape anataka kulipa fadhila kwa wafadhili wake kwa kuwapa tenda za mifumo ya serikali marafiki zake wenye hisa kwenye makapuni ya TEHAMA ya nje na baadhi ndani ya nchi.
Nape amekua mstari wa mbele kuchinganisha viongozi wa E-GA ili waonekane hawako Productive na wanahitaji kusimamiwa na wizara yake.
Waziri Nape anamshinikiza Eng Kundo ambaye ni Naibu waziri wake wapeleke mswaada wa dharula kuihamishia wizara ya TEHAMA E-GA.
Nape Nnauye ni bora ahamishiwe itikadi na uenezi kwenye chama, akapige siasa sawasawa , lakini kwenye Uwaziri tena wa Wizara ya TEHAMA , ni suala la Muda tu, amekua kuwadi wa Makampuni binafsi na ya marafiki zake.
Ni aibu, narudia tena ni aibu sana unachokifanya Nape Nnauye.
Nasema tena ukiachana na suala la Kuua E-GA , acha kabisa mipango ya kumhujumu Magila Tech na kumframe awe kwenye mitanziko na watawala. Unasuka mipango ya kumdhuru kijana huyu kwa faida zako mwenyewe , please stop this madness