nape

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anapotosha taarifa ya CAG ili kumchafua Hayati Magufuli?

    Kama anajua fika kuwa ni utaratibu wa kawaida CAG akiibua hoja basi lazima PAC na LAAC wazipitie na kuhakiki kama kuna ubadhirifu basi wao ndio watatoa majumuisho. Lakini amekomaa kumchafua hayati JPM kwa nini? Huyu kiongozi wa Act Wazalendo anatumika na wanaCCM kwa manufaa ya gani kumchafua...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye asema helikopta ‘yake’ inawaamsha waliolala

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amezungumzia matumizi ya helkopta katika ziara ya kukagua uanzishwaji wa anwani za makazi, akisema inawamsha watu kufanya kazi. Nape ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Aprili 14 akiwa mkoani Lindi katika mfululizo wa ziara zake...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Nafurahishwa na mjadala mkubwa unaoendelea juu ya operesheni anwani za makazi

    MJADALA MKUBWA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  7. init

    JamiiForums Tanzania Import Duty Tax kwenye Vifaa vya Kielectroniki, Kama ilivyosemwa na Mh Nape Mnauye(Simba wa Vita) mnamo tarehe 14th March 2022, Siku 365 za Rais Samia

    Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
  8. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Nape ni mwanasiasa hodari kuliko Makamba

    Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi huyu nae ni Waziri). Kwa kweli Nape namkubali sana mzee wa bao la mkono ila Makamba daaaa! kila...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sekta ya Mawasiliano imeajiri watu milioni 1.5

    Waziri wa Mawasiliano amezungumzia umuhimu wa Sekta ya mawasiliano nchini ambapo amesema inachangia 5.2% ya GDP ambayo ni Trilioni 5.7 kwa mwaka 2021. Pia imepelekea ajira rasmi na zisizo rasmi milioni 1.5 sawa na 2.6%. Sekta ya mawasiliano pia imetajwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Eti Waziri Nape! Watanzania hawana shughuli za kufanya mpaka mnawarudishia Bunge 'Live'

    Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampongeza Nape kwa kuthamini haki na kuihubiri

    Mwanasiasa Zitto Kabwe amempongeza kauli ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuhusu umuhimu wa haki. Zitto ameandika: “Asante sana Nape Nnauye kwa msisitizo huu wa HAKI. Haki za Watu ni jambo la Msingi kwa jamii yeyote kuweza kupiga hatua. Nimefarijika sana...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye akutana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuhusu Bunge Live: Wabunge wakipigana haileti picha nzuri

    Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhusu bunge live, anafafanua: "Spika wa Bunge, Tulia Ackson alisema hili jambo linazungumzika na tutajadiliana na Serikali tuone namna ya kulifanya liende. “Studio ya bunge ndiyo inaamua warushe vipi matangazo najua kwa mfano...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Sheria ya Habari inalenga kufungia mtu na sio chombo cha habari

    "Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna maneno mengi lakini tukifika hapo pakutoa leseni maana yake tuna uwezo wa kuichukua leseni yetu kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape waelekeze DSTV na AZAM TV Waweke option ya kulipia kwa match unayotaka kuangalia

    Kichwa cha habari kinajieleza, nchi nyingine wanaruhusu kulipia kwa match ama kuchagua movie unayotaka unalipia, ama pay per View, why not do the same ? Nawasilisha -----‐-------- Hawa DSTV tatizo lao wanataka faida kubwa kwa haraka, wenzao AZAM TV japokuwa hawaweki pesa kubwa lakini wana...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

    Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA. ========= Ameandika Muigizaji Batuli Hivi Kuna Mtu Mwingine...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu. Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Nape, Tido Mhando wawatembelea wafanyakazi wa Azam TV waliopata ajali

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tindo Mhando, jana usiku walifika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam kuwajulia hali waandishi wa habari wanne wa Azam waliopata ajali ya gari Mlima wa Kitonga, Iringa wakiwa safarini kwenda Mbeya. Awali, majeruhi...
  20. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Nape, Makonda na Kubenea. Ni Coincidence au kuna uhusiano?

    Nakumbuka Makonda alivamia Clouds. Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake. Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake. Makonda akaendela kushika hatamu/patamu. Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake. Mama kaingia madarakani.... Kamteua Nape...
Back
Top Bottom