nape

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

    Waziri wa Habari Nape Nnauye ametoa onyo kwa viongozi wa makundi ya WhatsApp (Admin), wazazi na wanaohusika kusambaza mitandaoni jumbe na video zinazohamasisha vitendo vya usagaji na ushoga na wengine wakitumia maudhui kwa njia ya cartoon ambazo hupendwa na watoto. ---- Serikali imetangaza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

    Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi Nape Nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika. Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu...
  3. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye saidia vijana paypal haikwepeki

  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nape: Hatutaki kudhibiti wanahabari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hawataki kuwadhibiti wanahabari bali kuwawekea mazingira bora ya kufanya kazi. Kauli hiyo ameitoa wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha radio cha BBC ambapo amesema Serikali...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Waziri NAPE, peke yako tu ndio unaona ghalama za bundle zimeshuka?

    Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka. Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote. Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WAZIRI NAPE: Tathmini gharama huduma za mtandao kufanyika 2022

    Mwaka 2022 Serikali itafanya tathmini ya gharama za huduma ya mitandao ya simu ndani ikiwa imepita miaka minne tangu kufanya hivyo. Hayo yamesemwa leo Jummosi Agosti 20, 2022 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kwenye kipindi cha Power Breakfast alipokuwa...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nape: Kama kuna mtu kaibiwa bundle alete ushahidi

    Waziri Nape - Clouds TV Trh 20. 08. 2022 Serikali ilifanya tathimini ya mwisho ya gharama za data mwaka 2018 ambayo ndiyo inatumika hadi sasa. Tathimini hii ilionesha kuwa gharama ya kusafirisha unit ya data ipo kati ya tsh 2.09-9.35 Tathimini mpya kwa sasa inafanyika ambayo itaanza...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    Kutoka ukurasa wa Twitter Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mawasiliano Mh. Nape Nnauye amefafanua mafanikio ya serikali katika kushusha gharama za intaneti kwa watanzania. Kupitia ukurasa huo amesema "Kwa heshima ya wale waliouliza maswali ya Data kwa nia ya kuelewa na kujadiliana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka. Nchi hii jamani! Acha tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape ahamasisha wananchi kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa 2022

    WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

    Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo. Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi. Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli. 1. Vifurushi vya mawasiliano /...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Airtel wapandisha vifurushi vya internet

    Hakuna waziri anayevutia wawekezaji kupata faida kwenye biashara ya DATA kama Nape nnauye, kijana anapiga kazi aiseeee Nimeamka nakuta kifurushi cha 1500 nilichokuwa naapata gb1 kwa sasa ni mb 850, hapo ukilalamika utasikia Nape anasema TCRA fatilia hao, utasikia mnalalamika nini wakati...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Vigogo Hawa; Kiwete, Nape, January na Rithiwani Siwaamini kabisa.

    Nikiwa muumini wa Magufulification of Africa, watajwa hapo juu siwaamini kabisa, yaani nahisi kuwa hawapaswi kupewa wadhifa wowote kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa. Kuna jambo nahisi limesababishwa na hawa Vigogo na naona linatuumiza mara 2014.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kumsakama Nape juu ya kukamatwa Mwaipaya. CHADEMA tambueni kuwa hakuna jinai pasipo na sheria

    Kama kweli alizua uongo acheni sheria ifuate mkondo. Japokuwa Nape sio, lakini msimsakame kama vile amefanya kwa amri zake binafsi.
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Siamini kabisa kwa January Makamba na Nape Nnauye

    Miaka si mingi iliyopita January Makamba alikuwa anasemwa ni smart na anafaa kuwa Rais. Siamini nani alimbadilisha akamleta huyu. Nape pia kuna kipindi alikuwa shujaa sana. Sasa najiuliza ndo huyu huyu au alinafilishwa? Na wapiga debe walikuwepo humu wa ndani na nje ya chama. Usimwamini...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Zoezi la uwekaji anuani za makazi ladoda kwa Dar es Salaam

    Wakati Waziri Nape akikabidhi taarifa ya utendeji wakuweka anuani za makazi. Najaribu kuwaza kwa ukubwa zaidi nini atakuwa amemwambia Waziri Mkuu juu ya alichokuwa akikifanya na utekelezaji wa shughuli nzima kwa kuthaminisha utumiaji mzuri wa rasilimali za serikali na ni tija gani...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Enzi za kutishana zimerudi tena, Spika anatisha, Nape anatisha

    Tulia Ackson: Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameitaka Serikali kuanza kuchukua hatua wanaopotosha kwa kinachoendelea Ngorongoro zikiwemo taasisi, "Sisi wabunge tunafahamu na wananchi wanafahamu tuko kwenye vita ya kiuchumi, tusiwaache wakaendelea kutumika. Muanze na huyu aliyerekodi hiyo clip."...
  20. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Nape issues a stern warning to TCRA and Telecoms

    The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon Nape Nnauye, has unleashed a stern warning against TCRA and Telecoms in Tanzania to stop sending texts to people without their prior consent. Hon Nape made those remarks in Dodoma, calling TCRA and telecoms in Tanzania...
Back
Top Bottom