nape

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Askari aliyemtolea bastola Nape bado yupo?

    Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena. Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado...
  2. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

    Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari. Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape kuwa wakala wa DSTV sijapenda

    Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi. Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha sheria kwa ajili ya kuipa upper hand DStv. Wakati kihuhalisia swala lilikuwa ni leseni walitakiwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika kutumikia wananchi. Dkt. Yonazi...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mfupa uliowashinda wengi TTCL, Waziri Nape atauweza?

  6. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape acha 'Kukurupuka' hili la 'TCRA' laweza 'Kukuharibia'. 'Boss' wako 99% anategemea hizo 'Tozo' ili nchi iende

    Umeanza kwa Pupa sana Kamarada ( Comrade ) sijui bado 'appointment hangover' inakusumbua pamoja na Ujana ulionao? Jeuri ya Boss wako ( Mama ) ipo katika hizi Tozo mbalimbali sasa leo hii unavyotaka TCRA ipunguze kwa kutafuta Kwako Sifa kwa Watanzania huku ukimkosesha Mama Mapato ya Kuongezea...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aitaka TCRA kuyaagiza Makampuni ya Mawasiliano kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi

    Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo. Chanzo: DarMpya Pia soma - Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape hii kauli yako imetufikirisha na kutuchanganya mno 'Werevu' wachache nchini, hebu ifafanue tafadhali

    "Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye. Kamarada...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape umeanza vibaya kwanza Kwa msiba lakini pia kwa kauli isiyotekelezeka, Mkipewa nafasi Jikabidhini kwa MUNGU Kwanza awape hekima

    Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana. Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kushangilia madaraka ya Nape na January

    Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa. January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio alikua kiongozi wa tallying center ya CCM ambayo ilibuni matokeo, kwa mfano, wapiga kura kwenye jimbo...
  14. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

    Mzuka wanajamvi! Huyu jamaa alikuwa 'shortsighted'. Wenzake aliotumwa nao walikuwa wataratibu sana yeye kimbelembele. Sasa leo Nape kateuliwa tena kwenye Ile nafasi. Pia Nape asingekuwa wazir tena leo kama asingejishusha na kunyenyekea kwa Jiwe siku ile akitembeza huku akirekodiwa jasho...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Nape Nnauye kwa kurudi kwenye nafasi ya Uwaziri

    Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa ya kupoteza nafasi yake ya Uwaziri. Funzo: Viongozi mnaoteuliwa simamieni haki bila kujali kama...
  17. love life live life

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Magufuli kwa kinana, Nape, January na Wengine mama angefanyaje?

    Nawaza tu kama spika ameongea tena hadharani, akiwa katika mhimili unaoruhusu kufanya ivo. Je Samia angewafanya nini Nape, January, Kinana nk. ndani ya chama kwa sauti zilizovuja wakiunanga utawala wake kwa mfano?
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Press ya Gwajima kujirudia yale ya Nape?

    Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake.. Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri.. Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri.. Baada ya kuzuiwa kutoa hotuba yake ndioo akawa hana namna isipokuwa kuitolea akiwa kwenye gari... Na hata...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nape Tunaomba Kuwajua Wenye CCM

    Nape Nauye na January Makamba inasemekana ndio wajuzi wakubwa wa wale wanaokimiliki chama tawala cha CCM. Kwa unyeyekevu mkubwa, tungependa kuwajua wamiliki wakubwa wa Chama chetu cha CCM. Je chama ni mali ya Wahuni wachache au wananchi. Hili ni swali gumu sana kwetu sisi wananchi wa kawaida
  20. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Kwako Nape kila kada anaweza hizo nyimbo

    Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
Back
Top Bottom