naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Tanzania Wadau nafanya biashara ya vitu vya Jumla, naombeni mni support

    Naitwa Daniel Aloyce Daniel, nipo karatu, mkoa wa Arusha, mnaonaje Wana jamii forums mkiniungisha. Najihusisha na pipi za Jumla, ambapo nawauzia watu wa reja reja mkauze. Mfano hii pipi hapo chini, nauza 7800 kwa kopo, ambapo wewe unauza 50 kama ni reja reja, ila kwa mtu anayenunua carton...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Siha naombeni matokeo

    Taarifa zinatatanisha,naombeni matokeo huko Siha mkoa wa Kilimanjaro,mzee wangu wa Siha nilimuombea sana tangu anachukua form,vp matokeo yake
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kalenga inahitaji mtu sahihi wa kutumwa ambaye ni mimi naombeni kura zenu zote – Grace Tendega

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija. Akizungumza...
  5. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Naombeni ushauri Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua faida za kiswahili hasa katika mambo ya maisha ya sasa

    Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
  7. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu kuweka lamination kwenye vyeti vya shule na hati ya kiwanja

    Habari za muda huu ndugu zangu, katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na mtoa elimu kuhusu mambo ya upatikanaji wa hati miliki za viwanja (aridhi), alienda mbele zaidi akaelezea kuhusiana na issue za kufanya lamination kwenye document za ki-serikali kama Hati ya kiwanja (aridhi), vyeti...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni content ya kipekee isiyoboa kama vile drip check ya msanuaji

    Kuna watu Wana bahati sana wamejipata mfano NI Yule msanuaji wa clouds anafanya drip check kuwauliza wasanii bei ya nguo walizovaa..kwangu me naona jamaa ana kazi nzuri kwani haiboi yaani kila siku unaweza kuisikiliza.sasa Mimi sio comedian na sipendi zile pranks sasa kuna sehemu naenda hivi nje...
  10. Farolito

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri WA haraka

    B
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  14. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Habari ndugu zangu Wakuu naombeni majina ya kikristo mawili ya mapacha, mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" na mwisho liishie na herufi sound " N" "Likianza na "Jo" lika sound mwisho "N" itakua unyama zaidi maana mbegu na mayai tumeunga j & n mwanzoni ningependa na watoto wa anze na...
  15. GanaJr

    JamiiForums Tanzania Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  17. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Naombeni kitu cha kusoma

    Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie tumshauri dogo ufaulu wake nika ifuatavyo phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia...
  18. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Suluhisho la Maji ya Chumvi kwa Kutumia Teknolojia ya Reverse Osmosis.

    Habari wanajukwaa, Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia). Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Good morng Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu...
  20. Michael_03

    JamiiForums Tanzania Naombeni support yenu wana jamiiForums

    Habari zenu ndugu zanguu Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital marketing. Tunaweza kukusaidia kuongeza mauzo. Naweza kukuelezea jinsi tunavyofanya kazi kama...
Back
Top Bottom