naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

    Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni link au nitagini na ule uzi wa vitabu vya hadithi

    Wakuu nisaidieni link ya uzi wa vitabu mbalimbali vya hadithi.au mkinitag nitashukuru pia.
  4. The outpost

    JamiiForums Tanzania Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Naombeni kupewa muongozo wa kuandamana hiyo 29/OKTOBA

    Ningependa kupata muongozo, yaani kwa hapa Dsm tunakutania wapi? Au unajitokea tu kwa rodi unawasikilizia wenzio. Ningependa kupata muongozo nisije kutoka na bango langu na kuwa chambo wa mfano kwa wengine. Na vipi siku hiyo kwa wafanyabiashara nao wanafungua biashara zao au wanafunga kuonesha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
  8. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Kaka zangu na dada Zangu habari Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano Naomba ushauri nimpe na nimsamehe
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Wananchi wa Segerea naombeni mnijaribu kwa miaka 5

    wanaosema mpo tayari kunipa miaka mitano tena ya majaribio, nijaribuni kwa miaka mitano mimi na Shukuru (mgombea Udiwani kata ya Minazi mirefu) ni kwa sababu sisi tunaamini changamoto za wananchi wa Miti mirefu zinapaswa kutangulia maslahi yetu yanapaswa kufuata nyuma" Hayo ameyasema Agnesta...
  10. adriz

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

    Moja kwa moja . Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu hapa nipo salama au nimeshanasa?

    Nimepata demu lakini simuelewi kabisa 1.hataki hata ndugu zangu wamjue 2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi) 3.ana pesa sana 4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum. 5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote...
  12. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naombeni majibu wakulungwa wa kaya

    Eti wajuba tunao daiwa na heslb ivi Kuna msamaha wa deni au ndio majonzi Au Kuna ka upenyo ka kuomba kupunguziwa deni 🤣🤩🙌 Usinikatishe tamaa sasa nambichwa wako utajibu ovyo🤣🔥🤩
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa afya naombeni msaada

    Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

    Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe...
  15. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Hili jambo linanitafakarisha sana wanajamii!! Habari!? Mimi ni kijana wa makamo, natoka familia ya kawaida, baba alikua mtumishi na mama ni mama wa nyumbani tu! Nina changamoto Moja hivi, naomba kushea mnipe mawazo walau nijue naanzia wapi. Nina miaka 34 Sasa naelekea 35, Sina familia swala...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa watu wanaojua sheria mnisaidie kwa hili kuna familia inazurumika

    Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja. Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  19. GANG MO

    JamiiForums Tanzania Najaribu ku log in kwenye mfumo wa mikopo HESLB lakini inashindikana

    Wadau habari ya jioni! samahani kuna dogo aliomba, mkopo mwaka jana alikosa. Sasa anataka kuomba mkopo tena. Lakini ameshalipia elfu 30 lakini akijaribu kulog in mfumo haufunguki. Shida ni nini wadau?
  20. Sichek na Kima

    JamiiForums Tanzania Naombeni ukaribisho wenu wana JF

    Nimekua nikifatilia JF kwa muda sana lakini hatimae nimeamua kujiunga rasmi na ustaarabu mimi mikiki siiwezi
Back
Top Bottom