Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL..
Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
Jambo ndugu zangu
Naomba ushauri wa mawazo kutoka kwenu
Mwezi wa kwanza mwaka kesho nilichukuwa mke
Lakini baada ya miaka Kazaa Kupita
Yule mwanamke nilianza kuona tabia zake baba yake na mjomba wakashauri familia juu mke wake na mama
Sasa ilo jambo linanitatiza
Sijui nyinyi mnanishauri nini
Habari wakuu naombeni msaada wenu
Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps.
Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
Salamu wakuu
Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa
hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia.
Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
Habari Wana jf,
Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu.
Phone number 0785598033
Habari wanajamvi.
Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya viuatilifu ikiwemo Dichlorvos(DDV), Chloropyrifos(Colt) na Imidacloprid (Twiga Prid) bila mafanikio...
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu.
Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku).
Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.