naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Wakuu Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo...
  2. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnielekeze kuhusu bajia za kunde

    Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya. Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
  6. kataza

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  7. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi. Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana. Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye...
  8. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani Mwanamke kufurahia mapenzi baada ya kutolewa bikira?

    Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa? Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5 Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  10. MKANDAHARI

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences Ordinary Diploma in medical laboratory sciences Ordinary...
  11. Mtu porii

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ni mgeni naombeni mnikaribishe

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
  13. thephilanthropist

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

    Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma. Matokeo. Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maoni yenu

    Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
  15. Egbert saka

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
  16. AndreRieu

    JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  17. Egbert saka

    JamiiForums Tanzania Kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka 2024?

    Nauliza kama kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka huu??
  18. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

    Wakuu kwema Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei. Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua . Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine. Asanteni.
  20. Mboju

    JamiiForums Tanzania Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na...
Back
Top Bottom