Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55

Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk

Bei halisi nijiandae na sh ngapi?

Mkitaja na maduka sio mbaya
A55 ni simu ya average user, ina display nzuri, Camera nzuri, inakaa na chaji sana, Itapokea updates nyingi kuanzia miaka 4 ila perfomance ni ya kawaida.

Recomended price kwetu ni around laki 8 hadi 1M hivi.
 
Build quality iliyosimama
Durable
Speaker nzuri
Camera ya nyuma nzuri.
Battery inajitosheleza
Performance inajitosheleza


Japo kwa bei yake
Ina pata joto KULINGANISHA na simu nyingine kwenye category yake
Camera ya mbele ni ya kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom