Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya dawa

Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya dawa

Barieda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
1,811
Reaction score
2,483
Wakuu habari zenu?

Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia , akifafanua Kwa kusema nitumie Asb, mchana na jioni.

Lakini nikiwa natoka hosp nikakutana na ndugu yangu ambaye NI Muuguzi katika hosp hiyo, baada ya kuongea naye na kumwonyesha dawa akaniambia nitumie kila baada ya masaa 8 mpaka dozi iishe na siyo kutwa mara 3.

Sasa wataalamu naomba msaada wenu tafadhali!
 
Wakuu habari zenu?
Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia...
Hahahahhahahahahha. Elimu yako tafadhali?...

Siku ina masaa 24 ukigawa kwa 3 ni sawasawa na 8. Ko akisema kila baada ya masaa 8 ni kutwa mara3 na akisema kutwa mara3 ni vilevile..
 
[emoji3]
 
Swali la mwenzako lilikuwa ni la msingi kabisa. Kulikuwa na mkanganyo kwenye maelezo ya mfamasia:

1: Mara tatu kwa siku: Asubuhi vs Mchana vs Jioni.

2: Kila baada ya saa 8: 2Asubuhi vs 10 Jioni vs 6 Usiku au 12 Asubuhi vs 8 Mchana vs 4 Usiku.
 
Unakosea...kutwa ni daylight....asubuhi hadi jioni hii ndio maana ya kutwa.
Asubuhi, mchana na usiku yaani linapozama jua.

Hapa nimtoa tofauti ya 24hrs na kutwa.

Kuhusu dawa waje wataalam.
 
Swali la mwenzako lilikuwa ni la msingi kabisa. Kulikuwa na mkanganyo kwenye maelezo ya mfamasia:

1: Mara tatu kwa siku: Asubuhi vs Mchana vs Jioni.

2: Kila baada ya saa 8: 2Asubuhi vs 10 Jioni vs 6 Usiku au 12 Asubuhi vs 8 Mchana vs 4 Usiku.
Ahsante Sana mkuu,
Ukweli Tu NI kwamba idadi kubwa ya watu tunatumia dawa mchana pekee ikiwa NI pamoja na Mimi , ahsante Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom