naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ZVI ZAMIR

    Naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa za yuke jamaa alikuwa anasambaza vipeperushi vya maandamano kama kakamatwa au la

    Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu. Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote. Naona ile roho ya...
  2. Kishoka1

    Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi

    Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao Hakika
  3. ndege JOHN

    Naomba kujuzwa kazi ya hili gari la polisi lenye kama radar hapa Morocco

    Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  5. Moto wa volcano

    Kwa anayefahamu naomba anifahamishe jinsi e sim inavyowekwa na kutumika kwenye simu

    Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
  6. Noel france

    GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  7. Kangosha

    Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

    Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea hivi kwa sababu zifuatazo:- 1. Vijana wengi wanamaliza vyuo,shule za secondary na hata msingi ila...
  8. Barantogwa

    Watalamu wa madini naomba msaada wenu

    Jamani habari za Jumapili. Kuna rafiki yangu yupo Morogoro, siku kazaa zilizopita alinitumia picha hiyo hapo chini👇, Akiniomba nimsaidie kuulizia kuwa hayo ni madini Gani na thamani yake ikoje sokoni? Mimi Sina ujuzi juu ya madini na Vito, kwa mwenye uelewa naomba msaada wenu.
  9. cold water

    Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  10. J

    Hivi Leo kuna Sikukuu yoyote ya Kitaifa?

    Nauliza tu maana kuna dalili kama ni holiday hivi Ahsanteni sana 🐼
  11. Hyrax

    Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

    Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
  12. Q

    Naomba muongozo biashara ya MASSAGE

    Habari wakuu. Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini? 1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini? 2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje? 3). Natakiwa niwe na nini? Natanguliza shukrani
  13. Chibike

    Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  14. khmbrzy

    Kati ya TIA, CBE na IFM

    Kati ya IFM- Insurance and Risk Management TIA- Business administration CBE- Banking and Finance Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
  15. R

    UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

    Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance... Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje? Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
  16. The Father of All

    Naomba CV ya Abdul mtoto wa Rais Samia

    Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
  17. Brain Kingdom

    Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  18. haszu

    Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

    Huwa sifatilii sana haya mambo ila kuna kitu kimenipa wasiwasi, kuna mtu ananipa sana hela, mara kwa mara, na ni miamala mikubwa tu bila hata kumuomba. Imefika muda nikaona nimuulize, akaniambia nisijali, pia akinipa hela, huwa mambo yake yanaenda vyema. Je, kwa kauli hii ndio anatumia nyota...
  19. K

    GE2025 Naomba kipindi hiki cha kampeni TBC muwe mnatuwekea hotuba za Magufuli

    Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
  20. R

    Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
Back
Top Bottom