naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu sharing kwenye biashara ndogondogo

    Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya Yanga na Marumo Gallants naomba kusitokee Msiba wowote wa mwana Yanga

    Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpima DNA za Mtoto, Naomba kufahamu taratibu za upimaji

    INTRODUCTION Mimi ni mwanaume Nina miaka 33 Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3. SCENARIO Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa. Binti wa pili. Huyu ndio nahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sawa anayedhaminiwa Mahakamani kulipia fomu ya dhamana?

    Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.? Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba Waziri wa Elimu pita hapa, shule za kutwa kuwe na utaratibu wa chakula

    Mh waziri Elimu inabidi kufanyiwa maboresho katika maeneo muhimu kama haya Wazazi wanabidi kushirikiana na walimu katika kuandaa ustawi bora wa watoto wao ikiwemo swala la shule ambazo ni day schools Kupata chakula cha mchana na Uji. Kwakuwa idadi ya Wanafunzi ni kubwa kila Mzazi/mlezi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnishauri kuhusu jambo hili

    T
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada, Screen yaLaptop Ina Rangi ya Pinc

    Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  11. JamiiForums Tanzania Tupac and Jada; Naomba tafsiri ya maneno 'Regal grace'.

    Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  13. JamiiForums Tanzania Naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu. Kazi ambazo naweza kufanya Utunzaji stoo Mapokezi Mauzo (sales officer) Napatikana Kibaha, Pwani.
  14. JamiiForums Tanzania Unahesabu vipi kupata namba ya siti kwenye basi?

    Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar kwa mfano tiketi yangu n siti 5 jinsi kuihesabu nakubuka nliwahi pewa siti nlipofika Mimi nkatafuta tu palipo andikwa Kama n 7 naitafuta Sana tu ilipo nakaa lakn nliambiwa sio hapo ndio nimeomba leo nipewe...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa JF naomba msome X-ray hii

    Heshima zenu doctors mliopo JF, Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani. Natanguliza shukrani.
  16. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Orodha ya Vitabu vyote vya Willy Gamba.

    Heshima kwenu. Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie. Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo. Asanteni.
  18. JamiiForums Tanzania Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii companies from japan

  20. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…