Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

Nikikumbuka zile nyakati za popobawa… ila Dar imeshapitia mengi khaaaa.
Yan popobawa akushindue afu utangazie watu!! Usipotangaza anarudi tena 🤣 🤣
Yaani nakumbuka popobawa akikukandamiza anakuambia nenda katangaze kwa wenzako, usipotangaza anarudi tena na kukufakamia kwa pupa kuliko hapo mwanzo.

Mbona utawatangazia umma tu!
 
Nikikumbuka zile nyakati za popobawa… ila Dar imeshapitia mengi khaaaa.
Yan popobawa akushindue afu utangazie watu!! Usipotangaza anarudi tena 🤣 🤣
Haki nimecheka kwa sauti na nipi kazini daah.......hivi zile stori ni kweli mkuu???🤣🤣😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom