Naomba kazi

Naomba kazi

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
3,040
Reaction score
5,193
Habari za jioni wakuu

Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu

Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani

Mwenye mchongo wowote tushtuane wakuu tusikunjiane

Lamomy
Mjusi Sharobalo
 
IMG-20251126-WA0062.jpg
 
Na mimi naomba KAZI pia Nina shahada ya jinsia na maendeleo tuwe wawili waomba KAZI au unasemaje mtoa madq
 
Back
Top Bottom