Salaam wana JF,
Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
Ndo hivyo wakuu, naomba nisaidiwe hilo!. Najua kuna wataalamu na wazoefu wa kung'amua tabia humu.
Mtoto ni wa kike, still todler (2+ yrs).
Mtoto huyu halali kama hajanyonya kidole chake gumba cha mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiutumia kumfinyafinya mama yake (au yeyote aliyemshika). Na...
Salaam!
Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa.
Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada.
Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni.
1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi?
Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama...
Habari wataalamu,
Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel.
Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
bandari za zanzibar
dp world
dubai
jamiiforums
kuhusu
kulalamika
kura
mbona
mzanzibari
naomba
neema
rais
rais samia
samia
tupige kura
ubishi
utanzania
waziri
world
zanzibar
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni.
Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo.
Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
GENTAMYCINE nina uhakika wa100% kuwa ile nguvu Kubwa iliyotumika kuwakataa Wawekezaji wa DP World ingetumika katika Kupinga Matatizo Makuu Saba ( 7 ) yanayoikabili Tanzania na Watanzania ya Upumbavu, Maradhi, Umasikini, Ushamba, Roho Mbaya, Wivu na Unafiki leo hii Tanzania ingekuwa mbali sana...
Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu
Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar
Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...