naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  2. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

    Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na wadau wa sheria naomba mnieleweshe kifungu hichi cha katiba

    katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe. (4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naomba orodha ya majina ya Mitume na Manabii ambao waliuawa na Mayahudi kama inavyoekezwa kwenye maandiko

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao. Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua? Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
  7. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kitabu kinaitwa THE ANIMAL FARM

    Wakuu naomba kitabu kinachoitwa THE ANIMAL FARM
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa eti nyau asipoomyeshwa kufukia mavi na mamayake atajua ?

    Kwa mnaojua au mnaofuga Paka me Nina swali moja Kwa mfano nyau kazaliwa leo halafu ukamtenga na mama yake je atajua umuhimu wa kufukia kinyesi chake?? Na kama atajua ni nini hiko kitachomwongoza?
  10. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua nikiagiza Dualis from Japan hadi mlangoni kwangu Tsh ngapi

    Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea. Naona bei kwa kule ni 3346USD Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili 8883630 x2 haikosi 18,000,000 Wakuu ndivyo??
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Hii Speed ya Internet ni nzuri?

    Wataalam. Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed: Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps. Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi huyu ni nani?

    Nipo nyumbani hapa naangalia mtandao x naambiwa kuna mtu kapigwa kauziwa barafu jangwani ?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

    Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
  14. feyzal

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utofauti wa Bachelor of Medicine na Bachelor of Surgery vs Doctor of Medicine

    Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hii Picha ya Kim Jong Un na Raisi wa Ukraine

    Jamani hii Picha ninayo iona hapa ni ni ya kweli au imetengenezwa na akili mnemba AI
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  17. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  19. Tatu

    JamiiForums Tanzania Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

    Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego. Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa. Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
Back
Top Bottom