naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Tigopesa wamelipia huduma kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu

    Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii, 👇👇 Dear Customer, you have Successfully done Payment for Google play store. Nilivyoona hiyo text nikaenda kwenye account yangu ya tigo nikakuta kweupe...
  2. Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  3. Kama unahitaji Magari au una tenda kwa ajili ya kubeba mizigo naomba tuwasiliane .

    Habari ya uzima. Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane . Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons. Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
  4. Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  5. Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  6. E

    Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  7. A

    Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

    Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
  8. Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  9. J

    Mwenye riwaya soft copy za kiswahili naomba

    Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
  10. Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
  11. F

    TOOLS FOR SALE, SINA UTAALAM NAZO NAOMBA OFFER

    Tools pitia picha chini
  12. Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  13. NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  14. L

    Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  15. Naomba kuuliza kwani Siku hizi tunavishana Nishani za JWTZ kwa Unguja na Pemba au ni kwa Utanzania wetu kumaanisha Umoja wetu?

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
  16. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  17. Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  18. M

    Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
  19. Nahitaji kuanzisha marathon hivyo yeyote mwenye uelewa juu ya jambo hili naomba anielekeze taratibu zote mpaka kukamilika kwa jambo hilo

    Habari zenu wakurungwa! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
  20. Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…