naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

    Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6 Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema. Naomba isiwe mikoa hii. 1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo. 2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa, njombe,MBEYA...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za Airport Tax / UBER / Nyinginezo kutoka JNIA hadi Mapinga Kiharaka hadi Makao Bagamoyo

    Kuna Mgeni anataka kuja Kuitembelea Tanzania na Mimi kama Balozi Kivuli wa Tanzania ninataka ajue Gharama kamili.
  3. JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, ninunue pikipiki au nifungue library ya kuingiza movie katika flash? (nina Tsh. milioni 1. 2)

    Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2? Asanteni.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushahuri: wataalamu wa spiker na midundo

    Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boom3?
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kimo Cha jiko la gesi lenyew oven

    Nimechonga kabati fundi anashindwa kujua vipimo vya iyo ovena yenye jiko la gesi Kwa anaejua upana na urefu msaada plz nalitamani kitchen kabati langu fundi kizingizio chake ndo icho tu Kila ukimuuliza kabati tayari anakujibu anashindwa kumalizia ajui vipimo vya iyo gesi oven,nahitaji Ile yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

    Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋 Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba unikumbuke mpendwa

    Kama wewe ni Muislamu naomba unikumbuke kwenye SikuKuu ya Eid. Asante
  9. JamiiForums Tanzania Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

    Habari wakuu .... Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai .... Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie Maana nimeenda kwenye ofisin za NHC naambiwa nyumba zote Zina watu na watu awataki kuhama Hvyo ww ambae umejipata...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

  12. JamiiForums Tanzania Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

    Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi ELimu yake ni diploma in...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara

    1.Ni biashara gani naweza kuifanya kwa kuanzia na mtaji wa mil5 na ikanipa matokeo mazuri 2.Biashara ya hardware inahitaji mtaj kiasi gani kuanzisha?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu utendaji wa simu ya M Horse S24

    Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  16. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kuisaidia serikali kuwapa wazo ambalo litasaidia kuondoa kupunguza tatizo la ajira kama sio kuliondoa kabisa.

    Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

    Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife. Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  20. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…