naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Naomba kuonyeshwa barua ya TPBL waliyowajibu Yanga kama haipo tuelezwe hatua walizochukuliwa waliozusha.

    Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine yasiyothibitishwa na Mamlaka. Leo tumeambiwa na wanaojiita wachambuzi kwamba Bodi ya Ligi imeijibu...
  2. Gidabed

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama. Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri. Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Kilimanjaro,nimekuwa nikipitia vipindi vigumu sana kiuchumi,ni mengi ninayapitia...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  4. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji Ana Hoja, Lakini Kwa Sasa Naomba Tumpuuze Mpaka Uchaguzi Upite..

  5. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  6. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania HELLO NAOMBA MSAADA

    Nipo na kikundi ninachokisimamia mimi binafsi na maelezo kamili kuhusu huduma zetu 🏡 LUNO GROUP – UBORA WA UJENZI UNAOWEZA KUAMINI! 🏡 Mshirika Wako Anayeaminika Katika Kujenga Ndoto Zako Dodoma 🌟 Unatafuta huduma bora za ujenzi kwa bei nafuu? Katika LUNO GROUP, tunatoa huduma kamili zenye...
  7. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  10. T

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

    Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
  13. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa. Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa.
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  17. Doto12

    JamiiForums Tanzania Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

    Huyu nilimkuta kwenye tiles. Nashangaa anatokea wapi Naomba wale waelevu wanipe msaada asitokee tena
  18. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  19. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu chochote kuhusu hii mashine naomba mnipe muongozo tafadhali

    Ni mashine ya kukaanga karanga. Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi. Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Maiki ya kurekodia video Youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa. Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie. SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie. Asante na mbarikiwe sana.
Back
Top Bottom