Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

aliyetegwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
320
Reaction score
526
Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi.
Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya magari.
Naomba ushauri wenu wa kitaalam juu ya hili na mapendekezo yenu.
Natanguliza shukurani.
 
Sijajua unavutiwa na Rush ya generation gani, ila natumaini ni kama hiyo kwenye picha.

images (23).jpeg


Ni gari poa tu, japo kwa lengo lako la kwenda "mabonde kuinama" inabidi kwenda nacho taratibu. Japo kina ground clearance nzuri (kipo juu juu), ila kiko soft. Watu wengi wanakifananisha na Rav4 3rd gen, ila kiuhalisia, hicho ni ki Daihatsu Terios. So usitegemee utapata sana zile faida za kuishi na Toyota.
 
Ni kagari kazuri ila wengi wanalalamika ulaji wake wa mafuta si mzuri kulingana na kaumbo chake
 
1000018095.jpg
1000018095.jpg

Jichange mzee uvute hii chuma.......gari ya kuanza nayo kwangu nii ist
 
Back
Top Bottom