Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
809
Reaction score
981
Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto

Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.

Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa

Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
 
Hawa ni ndugu zangu na nawapenda sana.
Lakini sisi wenyewe tulikua tukikaa na wazee wanatuambia, kama inawezekana tuoe makabila mengine.
In a nutshell,
1. Wanabonga sana. SAAANA!. Yaani mdomo uko mbele kuliko komwe!.
2. Kweli wanapenda kusukumiwa mfenenge, kwaio kama kweli gari yako kwenye mlima hua inachemsha, andaa handkerchief maana si haba utasaidiwa.
3. Umbea !
LAKINI sio mabaya tu, hata mazuri wanayo,
1. Wanavumilia sana kwenye shida
2. Wana upendo hasa kwa wazee wako na watoto.
3. Heshima debe, kama unapenda kupigiwa magoti, utapigiwa hadi uzeeni.
All in all, ili utoboe na mwanamke wa kijita lazma uwe mwanaume kwelikweli mwenye amri na msimamo, bora uonekane una kiburi lakn heshima yao utaipata kwa nguvu.

NB: additional, tulivokua wadogo tulikua tunaambiwa mda mzuri wa kutafta wachumba n kipindi cha kipupwe ambacho watu wanaandaa mashamba, kwaio unakaa njiani uone huyo mpendwa wako akitoka shambani before hajaenda ziwani kuoga. Akipita angalia miguu, kama imepauka kama mbute, kimbia spidi kubwa, inasemekana wa hvo hawavumilii shida. Lakini kama inameremeta japo haijaoshwa, weka makazi. (SINA PROOF)
 
Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto

Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.
W
Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa

Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
Halafu ukisha zijua tabia za Wanawake wa Kijita, basi mtafute Happy Lucas Lukona akupe sifa za Wanawake wa Kikwaya
 
Back
Top Bottom