naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fursa Hii Hapa: Naomba Ushauri Wenu

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team. Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja. Akaniambia kuwa anataka nimsaidie mfumo wa SMS wa kumsapoti wakati wa harusi yake. Request nyepesi lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba munieleweshe kuhusu usajili wa gari Dar es Salaam

    Habari zenu naomba kuuliza ukitoa gari znz kupeleka dar ikifika hatua hadi unatumiwa controll number ukalipie usajili je baada ya hapo unalipa tena pesa kwa ajili ya kadi ya gari na plate number?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

    Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
  5. JamiiForums Tanzania NAHITAJI KUUZA MAYAI NAOMBA MWONGOZO.

    Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

    Wakuu naombeni mniambie wilaya za zamani zaidi hapa nchini yaani zile kongwe ambazo labda wakoloni walizianzisha mara tu walipofika au labda sisi baada ya kupata uhuru tukazianzisha.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutengeneza mbege

    Mwana Jf mmoja anielekeze namna ya kutengeneza mbege kama Nina ndizi na ulezi tayari.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua

    Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  11. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

    Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yako: Mtindo gani wa maisha hapa ni hatari zaidi kwa changamoto ya uzito?

    SWALI: Je! Ni mtindo upi wa maisha (lifestyle) kati ya iliyoorodheshwa hapa chini ambao ni HATARI ZAIDI kwa changamoto ya Uzito Usio wa Kawaida (Under Weight, Over Weight or Obesity); lakini ukishughulikiwa ipasavyo na kwa usahihi unaweza kuleta suluhu kwa mitindo mingine ya maisha iliyosalia...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  16. JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  17. JamiiForums Tanzania Hili somo naomba liwafikie masikini wote ila muhimu lisikose kumfikia Nuh Mziwanda the hit maker wa Msondongoma na X wa Shilole (Mama ntilie).

    Kwanza kabisa habari zenu waswahili wa Tanzania mliopo Tanzania na ambao mpo nje. Leo nitadadavua aina za umasikini na unaweza kujinasua vipi . Kuna aina tano za umasikini Kama ilivyo aina tano za utajiri. •Umasikini Fedha na Mali •Umasikini wa maarifa na akili •Umasikini wa kiroho...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  19. JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…