ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,011
- 61,263
Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata wawekezaji binafsi.Na je ni kweli bila kupiganisha watu vitani marekani atashuka kiuchumi?