NMB naomba mnijibu hii hesabu

NMB naomba mnijibu hii hesabu

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,046
Reaction score
1,691
Wakuu,
Juzi nimewekewa hela kwene akaunti cha ajabu kwene salio haikuonesha kuongezeka…..

Aliyeniwekea nikamwambia mi sijaona akajibu amepewa na risiti nikamwambia uongo huo akarudi kwa wakala ,wakala akasisitiza ameweka…..

Ikabidi nichukue statement.

Jana nikarequest statement nikakatwa hela ila statement haijatumwa

leo nikarequest wakaleta
N
ilichokiona Pesa iliwekwa lakin salio halikuongezeka??

Wataalam nisaidieni hii hesabu mnieleweshe kimahesabu kabla sijaenda KUWALETEA NONGWA NMB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom