naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

    Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini. Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka Namwomba...
  2. JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    NItasema kweli daima. Maisha ya u singo maza sio maisha. Uwe tajiri uwe masikini sio maisha. Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi: Hii ni haki kweli? Nimelipa deni, lakini bado nakataliwa mkopo

    🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI? Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya. Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
  5. JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Nina changamoto kubwa sana kuhusu namna bora ya ku transmute sexual energy.. We all know how this energy can lead to doing greater things.. So badala ya ku indulge kwenye tendo lenyewe la sex kila muda nataka kutumia katika creativity ila sasa nikiwa in the...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kuna huu wimbo nime video screen shot anaeujua please

    Nimeweka kavidio kadogo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Commission za NBC kitengo cha Direct Sales zipoje?

    Habari JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki. Nimeelezwa kuwa malipo yatakuwa kwa mfumo wa commission. Naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu na mfumo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

  9. JamiiForums Tanzania Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu

    Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu. Leo naandika kwa unyenyekevu nikitumaini nitapata mtu wa kuniamini na kunipa nafasi ya kuanza upya. Habari zenu wakuu. Kwa kweli nimefikiria sana kabla ya kuandika uzi huu. Najua humu kuna watu waliowahi kusaidia lakini wakaja kukutana na...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Sheria; Ndugu yangu kaangukiwa na tofali Kariakoo, wanagoma kumfidia

    Habari wakuu, Nina ndugu yangu ,shughuli zake ni kuuza dawa asilia mtaa wa nyamwezi na mkunguni ,kariakoo. Akiwa kwenye majukumu yake mtaa huo,kuna ghorofa linaendelea na ujenzi, tofali likatoka juu na kumgonga kichwaniMungu mkubwa, CT scan imeonesha fuvu la kichwa halijaathirika. Kamaliza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana. Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Hotel or lodge, Airbnb nzuri kwa Dar

    Hello guys habari za asubuhi Samahani naomba kwa wenye kufahamu hotel, lodge au airbnb kwa hapa Dar es salaam ambayo naweza kaa kwa usiku mmoja wa leo ila cost zisivuke 150,000 Naomba kuzifahamu kwa majina na maeneo zilipo zisiwe nje sana ya jiji ili iwe rahisi kwa asubuhi kureport kazini...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba ma-IT wa kibongo wazindue whatsapp na facebook za kibongo

    Habari zenu wakuu NImefuatilia utendaji wa facebook hasa kwa wajasiriamali na mwinga ukisponsor ads ,hupati traffic na leads za kutosha kama miaka nilipoanza kusponsor mwka 2016 hadi 2020. Pia naona hata whatsapp business wanlimit mnoo idadi ya wateja kuwasiliana nao. unakuta ukifoward wateja...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada Ajira portal

    salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

    Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu". Hivi, ni namba za simu au namba ya simu? Cc macho_mdiliko, min -me .
  17. JamiiForums Tanzania Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu wateja wa dagaa na samaki

    Wakuu kwema habari zenu vipi Poleni sana na majukumu wakuu, Ndugu yenu mdau wa Jamiiforum nakufa njaa nimeazisha Uzi wa dagaa na samaki mnipatie kazi niwatafutie lakini Naona kimya sana wakuu, Mimi ndo nimeanza Sina mtaji nimeamua kujiajiri ziwani kwa kuwatafutia samaki na dagaa, Ili...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye joining instruction ya mbeya college kwa kozi ya diagnostic radiology naomba

    Msaada kama kichwa hapo juu kinavyojieleza asante
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…