Commission za NBC kitengo cha Direct Sales zipoje?

Commission za NBC kitengo cha Direct Sales zipoje?

Dkt Elia

New Member
Joined
Aug 9, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Habari JamiiForums,

Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki.

Nimeelezwa kuwa malipo yatakuwa kwa mfumo wa commission. Naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu na mfumo huu wa NBC: Unafanyaje kazi, na kwa kawaida commission huwa ni asilimia au kiasi gani kwa kila akaunti inayofunguliwa?

Asanteni.
 
Kufungua akaunt buku jero ndo commission hivyo mwisho wa mwezi Kuna WHT kwa watu wa commission na bonus 5% jiandae

Good lucky
 
Back
Top Bottom