Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Jeep rubicon

JF-Expert Member
Jan 7, 2023
738
1,439
Salaam.

October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana.

Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua nikijionea mwishoni mwishoni.

Kuumia kwa kuachwa na umpendae ni kawaida ila alivyosema tu tuachane NILILIA dk 1 nikafuta machozi ila nikasema nikimbembeleza huyu ni kujiongezea muda wa kustresika na mapicha picha yake.

Nikamkubalia na kumtakia kila la kheri nikafuta namba na kila kitu then nikasema nitafute kitu cha kuji keep busy ili nimsahau haraka.

Fasta nikampigia shost yangu mmoja yuko nje ya nchi nikamwambia nimeipitisha idea ya project aliyoomba tushirikiane kufanya.Lengo hapa ni kuongeza kipato na ubusy ili nimsahau kirahisi.

Kuna shosh angu nimemuhadithia ananiambia;

Shosti:Mi naona kwa vile alishafikia had kukuahid ndoa mbembeleze yaishe.
Mimi: Kwa vile nampenda angenioa ingekua furaha ila sitak kuteseka kwa ndoa ya kulazimishia.Kwanza umri ushanitupa mkono kwa sasa nitafute tu pesa.

Shosti:Weee!! Jeep asikudanganye mtu shoga angu!!Hata uwe kama Bakhresa bila ndoa hujakamilika.

Mimi:Shosti ndoa tamu kwa wanaopendana ila wapo wanawake kibao nikitangaza TUBADILISHANE NIWAPE ROBO YA MALI ZANGU WANIPE NDOA ZAO trust me utashangaa jins watakavyojitokeza wengi.

Shost:Jifariji huna namna!

Mimi:Unakumbuka ulivyokua ukinipigiaga ukilia juu ya mumeo anavyokufanyia?

Shosti:Hiyo kawaida kwenye ndoa na siku hz ndoa yangu ina aman au huon siku hz silii tena.?
Mimi:Si ulisema hutalia tena sbb akimwaga ugali na wewe unamwaga mboga kwa kutembea na binamu yake?

Shosti:Hata wewe huna utakatifu wowote huyo Tolu angekuoa kuna siku tu na wewe ungechepuka!

Mimi:Wewe ulisema unachepuka na binamu yake ili umalizie kibanda unachojenga.Na unakumbuka ulisema hicho kibanda kikiisha tu na mume unamkimbia ukaishi kwako upumzike na mateso ya ndoa!?Sasa mim Tolu angenioa ningemsaliti kwa njaa gan nlonayo?

Shosti:Ndoa tamu bibi wee fanya uolewe pesa sio kila kitu!

Mimi:sawa ila niombee nipate ndoa yenye amani sio kama hiyo yako ya mateso!

Shost:Heheeee!Yatakushinda!Leo naona umenikamia shoga anguYaan wewe sikuwezi..Halafu shoga angu vp ile hela nilikuomba nimtumie mama nasikia hali yake inazid kuwa mbaya ndugu yangu.

Mimi:pole ila Ina maana mumeo kashindwa kumtibu mkwe wake had uhangaike kuazima hela.?

Shost:Shoga kama unanisaiidia nisaidie tu ila shemej yako sasa hv uchum wake sio mzuri.

Mimi:Sio mzur kvp na ulisema kuna deal katusua ila hela yote kamnunulia mcheps wake kiwanja?Huu ndo utamu unaoniringishia?Salon yenyewe umeingia mara ya mwisho ulivyonisindikiza nikakupa ofa na wewe!

Shost:Basi tuseme hutak kunisaidia haina shida.

Mimi:Hahaaa!Ni vile tu ni mama ingekua wewe ndo unaumwa ungejitibu kwa hicho cheti chako cha ndoa.Nikurushie kwa namba ile ile au?

Shosti:Nakutext nyingine,Ile ina deni watazikata.

HAKUNA MWANAMKE ASIYETAKA KUOLEWA ila tunapokosa lazima maisha yaendelee kwa kujifariji kuwa tuna FURAHA ambayo wenzetu wengi walioolewa hawana na wengekua na uchumi mzuri wangetoka!

TEAM KATAA NDOA bado form za kujiunga zipo?,😀
dronedrake Liverpool VPN
 
Anyways bado una stress za kuachwa na tolu ila ulivyommalizia mwenzako stress zako si jambo la hekima .

Ndiyo maana men huwa tuna heshimiana sababu hata uwe rafiki yangu kiasi gani hauwezi kujua maisha yangu kwa 100% hapa wanawake wanakosea kuhadithiana kila kitu mwisho wa siku ndo kama hayo UNAMKAMIA MWENZAKO ALIYE KWENYE NDOA KWA SABABU UMEACHWA NA KOSA LAKE NI KUKUHADITHIA MAISHA YAKE KWA ASILIMIA 100.

N.B
Inawezekana

1.Hii ni chai
2. Kama ni kweli basi tafuta wa kukuoa mapema usije fanya mambo ya aibu (ajabu ) ukiwa na umri huo

"Ciao"
 
Stress hazikatai sbb nilipenda kwa dhati na ni mara ya kwanza mim kuachwa.

Sijamtolea stress ila nilitaka aache unafiki.Mara kibao anasema anajuta kumtii mumewe aliyemuomba aache kaz.

Wakat namwambia nimepata mtu ananipa furaha kias niko tayar kuacha ofis zangu nikaish nae alinihusia sana kuwa "Ndoa haina thaman kias cha wewe kuchukua hatua kubwa kias hicho" then akasema "Hujui tu maumivu tunayovumilia kwenye hiz ndoa".

Iweje mtu anayefikia kupata faraja kwa wanaume wa nje,anayedanga il awe na kwake amuache mumewe anishaur nilazimishe ndoa na mtu aso na hisia tena na mim?
 
Salaam.

October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana.

Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua nikijionea mwishoni mwishoni.

Kuumia kwa kuachwa na umpendae ni kawaida ila alivyosema tu tuachane NILILIA dk 1 nikafuta machozi ila nikasema nikimbembeleza huyu ni kujiongezea muda wa kustresika na mapicha picha yake.

Nikamkubalia na kumtakia kila la kheri nikafuta namba na kila kitu then nikasema nitafute kitu cha kuji keep busy ili nimsahau haraka.
Muda mwingine mwanamme huwa tunamkataa mwanamke kumpima kama ataondoka ama atabaki.

Kuondoka kwako kunaonesha wewe ni mjeuri na una backup. Angekuoa ungemtesa na ungemkimbia tuu. Hufai kuwa mke.
 
Salaam.

October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana.

Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua
dronedrake
Yawezekana ni mazungumzo ya kutunga au ni ya kweli. Ila yana ujumbe mzito sana.

Mleta mada nimeelewa reasoning yako. Una IQ kubwa.
 
pEsa ndo kila kitu usidanganywe

Kuna dada angu alishawah kutaman ndoa mpaka akawa anawapatia hela wanaume,mara anahangaika na wazeee,mara matapeli anayaleta mpaka nyumban kuyatambulisha

bAadae ilibid nimshauri aachane na hayo mambo atafute hela tu,pesa ndo kila kitu,mungu saidia baadae alifanikiwa ila sahv tena anataman kutoka kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom