Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi.

Hebu tuangalie kwa pamoja hiyo suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango.

20230330_122315.jpg


Sijui ni vile ililetwa au ilishonwa pasi vipimo, yaani nguo inakuwa oversize why lakini?

20230330_122401.jpg
 
Jiwe mwaka wake wa kwanza alikuwa na pigo kama hizo za M7 hadi viganja vilikuwa havionekani.
Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.

Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?
JamiiForums2014260396.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.

JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pengine bado ulikuwa hujamiliki "Simu janja" ngoja picha zitakuja hapa halafu utafute kichaka cha kujificha,na hao kina Kalumanzira nafikiri ndio walikuwa wabunifu wake.
 
Back
Top Bottom