nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbali na uigizaji,Hamis Actor ni nani?

    Nimepata shauku ya kutaka kumjua huyu jamaa. Mbali na uigizaji ,uchekeshaji na kufanya challenges za nyimbo mbali mbali huyu jamaa ana jishughulisha na nini? Maana hana jina kubwa kiasi hicho lakini aina ya watu anaokaa nao na lifestyle analotaka kutuaminisha nalo japo tunajua ana fake lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola? Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
  3. JamiiForums Tanzania Nani Mwenye Wajibu wa Kulinda Transfoma za TANESCO?

    Ningependa kujua ni nani mwenye wajibu wa kulinda transfoma za TANESCO dhidi ya wezi wa mafuta ya machine hizo? Imetokea mara kadhaa (zaidi ya mara nne kwa mujibu wa wahanya/ wateja) transforma iliyowekwa kwenye pori na TANESCO katika mtaa wa Vespo Kihonda Morogoro kuibiwa mafuta yake nyakati za...
  4. JamiiForums Tanzania Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

    Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika. Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
  6. JamiiForums Tanzania TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

    Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu. Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamashabiki wengi, Simba au Yanga?

    Simba na Yanga ni timu kongwe zenye mashabiki na wafuasi wengi hapa nchini na hata nje ya nchi. Kila timu hutamba kwa upande wake kuwa ni Bora kuliko timu nyingine. Unadhani kwa sasa timu gani Ina mashabiki wengi?
  9. JamiiForums Tanzania Mzazi kumchagulia mtoto wako aoe/kuolewa na nani ni ushamba

    Sio Kila mzazi ni Mungu wako wa Duniani wengine wanaongozwa kwa sera na itikadi za kishamba sana, kwa upande wangu na ninayoyaona naenda kupotea nyumbani kwa miaka ya kutosha na kurudi huko sidhani. Fikiria umempata mchumba umekaa nae miaka ya kutosha kuanzia minne, hajawai kukuletea shida Wala...
  10. JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

    Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall . Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop . Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja...
  11. JamiiForums Tanzania Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

    Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo. Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
  12. JamiiForums Tanzania Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

    Bodi ya Utalii imemkana Mwijaku 😂😂😂 Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema haijamtumia wala kumtuma mtangazaji na mwigizaji, Mwemba Burtony maarufu kama Mwijaku nchini Ufaransa kutangaza utalii mitaani, akiwa balozi wa utalii kwa niaba au kwa gharama za Serikali. Katika taarifa iliyotolewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga ni nani amepangiwa kundi gumu Klabu Bingwa?

    Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika. Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo hakuna uthibitisho. Wengine wamekuwa na mtizamo chanya na kuona kama Soka la Tanzania limekuwa, na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  15. JamiiForums Tanzania Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?

    Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani? Jamal Musiala Jude Bellingham
  16. JamiiForums Tanzania Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

    Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki. Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nani shetani ? wa JF

    Shetani ni majini na watu. Uzuri wa ushetani anabeba dhambi zake na kukuachia jukumu kwako ,kwa maana hakulazimishi,hakuvuti wala hakujui ,lengo lake ni kupata wenzake. Ila siku ya siku atakapowekwa mbele ya hukumu atawauliza wafuasi wa jamii forums .Je niliwashika mkono na kukuvuteni ...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa na Macartel wachache, nani atawanusuru Watanzania Milioni 60?

    Picha hii inajieleza mara milioni 1, kuliko maneno yangu Pichani Mmoja wa mtoto wa James Rugemalira baada ya kupata mgao wa ESCROW Mwaka 2014 alienda marekani kula bata na mwanamuziki rihana ambaye table dresing anatumia dola laki 3 kwa mwezi ambazo sawa na takribani zaid ys milioni 500 kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

    Ni mashindano yameanzishwa muda mrefu leo hii nazani ni kwa mara ya kwanza yamefanyika mkoa wa iringa Nimeona watu ni wengi ambao ni wafanyakazi zaidi ya watu 3000 wamesafirishwa kutoka nchi nzima watakaa hapa kwa siku 14 Naomba kuuliza hizi gharama zakuwatunza hawa watu zinatoka wapi kula na...
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

    Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi. Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha. Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…