namtumbo

Namtumbo District is one of the five districts of the Ruvuma Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Morogoro Region, to the east by the Tunduru District, to the south by Mozambique and to the west by the Songea Urban District and Songea Rural District.
As of 2002, the population of the Namtumbo District was 185,131.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Shamba la ekari 400 linauzwa Ruvuma

    Habari wakulima wenzangu, Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...
  2. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo mengi ya Namtumbo - Ruvuma maji yanatoka mara chache, muda mwingine yanakuwa machafu

    Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa kutekeleza shughuli zao za kila siku kwa urahisi kutokana na ukosefu wa huduma hiyo muhimu. Wakati mwingine...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya: Namtumbo mkoani Ruvuma hatujalipwa Pesa ya kujikimu

    Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu. Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024. Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Homera aagiza watumishi wenye utendaji mbovu Jimbo la Namtumbo kuhamishwa

    Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dkt. Juma Zuberi Homera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuwahamisha watumishi wawili wa kata ya Lusewa ambayo ipo katika wilaya ya Namtumbo kufuatia hali ya utendaji kazi mbovu. Maagizo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

    Wakuu! Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops: Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini...
  8. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia awasili Ruvuma kuelekea Wilaya ya Namtumbo kwa Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Namtumbo: Bilioni 3.3 Zatumika Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma

    JIMBO LA NAMTUMBO: BILIONI 3.3 ZATUMIKA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA RUVUMA Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, unaendelea kutekelezwa kwa awamu ambapo hadi sasa, kiasi cha Shilingi Bilioni 3.3 kimetumika katika ujenzi pamoja na kukamilisha jengo la huduma za mionzi pamoja...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Juma Homera hatutaki kukuona Namtumbo

    Huyu bwana amejipanga kugombea ubunge uku Namtumbo. Ameanzisha kiredio chake kinaitwa Cite fm, Kila siku kinamsifia. Kwa unyama uliomfanyia Mdude Nyangali, hatukutaki na hatutaki kuwa na mwakilishi wetu ambae ni killer. Ukibisha, we chukua fomu ila wajumbe tutakunyoosha.
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpango wa Homera kuhujumu hafla ya Mbunge wakwama

    Na Mwandishi Wetu, Namtumbo: Njama zilizokuwa zimepangwa na mmoja wa watia nia wa ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma kuzuia makabidhiano ya gari jipya la wagonjwa (ambulance), zimekwama. Taarifa zinadai kwamba mtia nia huyo, Juma Zuberi Homera, aliwaandaa vijana kadhaa ili wafanye fujo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aahidi Soko na Stendi ya Kisasa Namtumbo, apongeza mafanikio ya Kilimo Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Mwenza wa Urais 2025, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kufanya mkutano na wananchi wa Wilaya ya Namtumbo, ambapo amesisitiza umuhimu wa kuimarisha sekta ya kilimo na kuahidi kushughulikia...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fainali za Michuano ya Samia Namtumbo Cup 2024 inaendelea

    Mkongo FC imeweka historia Samia Cup! kwa kumaliza nafasi ya 3, Mechi ya Fainali inaendelea kati ya IHANGA dhidi ya LIBANGO.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania DC Malenya wa Namtumbo: Msilalamike ajira hakuna, utajiri uko shambani

    Huo ndio Ushauri wa DC Kwa Vijana wa Tanzania kwamba waache kulalamikia ugumu wa Maisha na kukosa Ajira badala yake wakalime maana huko ndiko Kuna utajiri. My Take Huyu Kwa nini asiache u DC aende kulima Ili awe Tajiri? Bila kuwa Chawa hatoboi mtu ---- Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo...
Back
Top Bottom