Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 968
- 542
Habari wakulima wenzangu,
Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya chakula, Soya, Mbaazi, Mihogo, Karanga, Ufuta, na Maharage.
Shamba hili ni jipya bado halijasafishwa lakini halina msitu mkubwa.
Kwa wawekezaji wa mjini ambao hawapendi kujishughulisha na kilimo wanaweza kulisafisha vizuri na kulikodisha kwa wakulima. Kwasasa Ruvuma ekari moja inakodishwa kwa shilingi laki moja kwa msimu mmoja. Ni biashara nzuri ambayo inaweza kukuingizia kipato milele. Au ukita kujikita kwenye kilimo mwenyewe inawezekana. Shamba ni tambarare na linafikika kwa gari muda wote.
Bei ni shilingi 170,000 kwa ekari moja. Eneo hilo ni la pamoja.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Bwana Aman Ng'oma kwa namba 0767989713 au Shaibu Ndimbo kwa namba 0756454891.
Karibu kwa biashara. Wekeza kwenye mashamba upate utajiri wa shamba
Asante