Balagha ni elimu ya maneno au Hotuba inayoathiri, na kumsogeza mtu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
Ili kuielewa vyema, hebu turudi nyuma na tuangalie jinsi tunavyowasiliana,
Tuna mawazo au hisia ndani yetu, tunaita ''Maana katika nafsi''
Ili kueleza mawazo au hisia hizo, tunatumia...