namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

    Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita wala magonjwa, wala kilio wala kifo. Mbinguni hakuna kuzeeka, hakuna kula kwa jasho, hakuna ajali...
  2. JamiiForums Tanzania Posho ya mafuta ya wabunge ipo namna gani?

    Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: Namna ya kufix issue ya Adsense YouTube

    Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
  4. JamiiForums Tanzania Kusherehekea Misiba Pia ni namna ya Kuomboleza Tusifundishane namna ya kuomboleza Kifo ni kifo tu

    Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

    Wasalaam Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi. Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi Ahsante.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Wakuu salamu. Naombeni msaada namna ya ku verify number kwenye YouTube channel. 🫶
  7. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Namna ya kumfanya mfungwa afunguke

    1. Kumwagiwa maji baridi Sana 2. Kuwekwa kwenye chumba chenye mziki full blast 3. Kuwashiwa taa zenye mwanga mkali Sana Hizo hatua tatu zikifanyika na bado haongei hupewa mateso mengine makali zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Mungu anampa kila mtu kwa namna yake

    MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE. Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu. Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu. Kama ilivyoelezwa katika Biblia 1...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kuichukua Cuba, anadai nchi haina hela wana hali tete

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana: Sisi ndio wa kudharauliwa namna hii?

    Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa!!! https://x.com/Globalstats11/status/2030202522074497522?s=20
  12. JamiiForums Tanzania Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa namna gani naweza kuwa monetized na youtube

    Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
  15. JamiiForums Tanzania Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna. Ni vita tu!

    Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hii misimamo na mahaba ya namna hii huwa mnayatoa wapi?

    Katika ukuaji wangu Kuna Imani na misimamo nikimuona nayo mtu nabaki namshangaa kabisa Kwa mfano; Hivi inawezekanaje kuwa chawa wa mtu kiasi Cha kushindwa kuona mabaya take?🤔 Hivi mtu unawezaje kujidhuru kwa ajiri ya mapenzi ?🤔 Hivi kipi kinacho Mfanya mtu anashindwa kumuamini Mungu au...
  18. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  19. JamiiForums Tanzania Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kusimamia tawi la biashara iliyombali km40

    Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie Sasa ntawezaje kusimamia ili muuzaje asiweze kuja kimbia nahela ama kusababisha loss kwa maksudi,napia muuzaji kuweka vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…