namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwafikia wateja wako kirahisi

    Bulk sms ni mfumo unaomuweza mfanyabiashara,taaisisi au kampuni kuwa na uwezo wa kuwatumia watu wengi sms kwa wakati mmoja(hadi sms 1M) Ikiwa na Sender ID Ya kampuni ama taasisi yako Mfumo Huu ni wa kisasa na ni wa haraka sana Ambao unakusaidia kuwafikia wateja wako Kwa urahisi zaidi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

    Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta. Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga. 1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  5. JamiiForums Tanzania Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauriwe namna ya kuongea kama Rais na siyo kuongea kama Samia

    Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza. Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais. Shime jiepushe kutoa kauli tata...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kilibadili mfumo wangu wa maisha na kuanza kufanya mazoezi (Physical fitness)....

    Salamu wakuu, Nimeamua kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuhamasishana kufanya mazoezi ambayo kimsingi ni suala mtambuka na jambo linalotakiwa kufanywa na kila mmoja wetu hasa kwa wale ambao kazi zao ni za ofisi kwa maana ya kwamba hazihusishi movement ambazo zinafanya mwili kuwa Active. Mazoezi...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  9. JamiiForums Tanzania Tariq Kipemba amewakosea nini wanadamu mpaka wameamua kumpa adhabu kali namna hii?

    Nimeiona hii habari kupitia Millard ayo nikaona ni vyema niilete humu jamvini huenda akapata chochote. Kijana Tariq Kipemba amemwagiwa kitu kinachohisika kuwa ni tindikali huko mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika matembezi ya kawaida. Tukio hili limempa majeraha makali mwilini mwake na...
  10. JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

    All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned! Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali. Hakuna muhuni atakayeishinda mama...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mali za umma zinachezewa namna hii?

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la reli (TRC) alisema moja kati ya changamoto za shirika ni watu kuchukua maeneo ya shirika. Mfano: Akasema kuna eneo la reli ambapo reli ilitakiwa kupita kutoka Mwenge via Mbezi beach hadi kiwanda cha cement Wazo hill. Lakini hilo eneo sasa hivi limejaa maghorofa...
  12. JamiiForums Tanzania Kova ndiyo kachoka namna hii?

    Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  14. JamiiForums Tanzania Sitakula kwa mama nitilie labda nione nataka kufa na hakuna namna nyingine

    Hi! Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo. Mimi sili kwa mama nitilie.
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

    NAMNA YA KUJIHAMI NA PANYA ROAD, AU MAKUNDI YA NAMNA HIYO! Anaandika, Robert Heriel Mara ya Kwanza Panya Road niliwaona mwaka 2016, Maeneo ya Tandale, kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo, DSM. Kilichokuwa kinanipelekea Tandale licha ya kuwa nilikuwa nikiishi Sinza Lion; ni kwenda kushangaa...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya kujilinda na wezi wanaovamia kama kundi/wanaoandamana kama mbwa mwitu

    Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi. Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
  20. JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…