namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

    Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Habarini za usiku wapendwa Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa, yaani wauze nchi au wapige madili hamna namna ya kuwatoa madarakani. 2025 tukatae hizi dharau

    Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili. Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia. Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao. Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani...
  5. JamiiForums Tanzania Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe kuwa Tume ya Uchaguzi na Wakurugenzi ni watu, wakidhibitiwa 2025 hili genge linalowadharau Watanzania halishindi uchaguzi kwa namna yoyote

    CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau. Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana. Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  8. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake. Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi. Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

    Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar) Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani! Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna vyeti vya kuzaliwa vinajazwa siku hizi

    .
  11. JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuandika mkataba kisheria unapouza au kununua

    MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo, anza ziara ya kuaga wana Arusha, hakuna namna 2025 utarudi katika Ubunge

    Buriani Mrisho Gambo! Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake. Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  14. JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kufichua namna matangazo yanavyowalenga watumiaji

    Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni. Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kali sana kwa Maafisa Utumishi wa namna hii

    Kumekuwa na mvutano wa hali ya juu sn kati ya vyama viwili vya kutetea walimu yaan cwt na chakuhawata juu ya nan mwenye haki ya kumtetea mwalimu huku CWT kikijinasibu kuwa na haki na hata inapoonekana chakuhawata wameingia kwenye makato bas cwt ipo tayar kutumia hela kuhonga maafisa utumishi ili...
  16. JamiiForums Tanzania Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  17. JamiiForums Tanzania Kufanana na Mdingi namna hii, poa sana !

    Beautiful!
  18. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wabunge Simba Arati and Sylvanus Osoro warushiana makonde

  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Niishi vipi na ndugu wa namna hii?

    Thread closed Reached the real goals
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…