"Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake.
"Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
Mimi si shabiki wa awa wachekeshaji wa kizazi cha sasa ambao wanatumia zaidi social media kufikisha sanaa yao. Ila nimekuwa navutiwa na juhudi zao kujaribu kusukuma kazi zao zifike kwa watu.
Inawezekana kwenye ubora bado wanajitafuta lakini wanaonesha juhudi za hali ya juu. Siku zote kwenye...
FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA...
✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa za kifo cha Nelson Chrizostom Rutta/maarufu kama Faza Nelly ambae alikufa kutokana na Majeraha ya...
Kiongozi wa Ujerumani, chansela Scholtz amemshushua Benjamin Netanyahu hadharani hapo jana wakati wa mjumuisho wa ziara yake nchini humo mbele ya waandishi wa habari.
Kauli zake ni kuungana na viongozi wengi wa kimataifa ambao wameingiwa na huruma japo hatua wanazochukua haziendani na haja ya...
Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana...
Wakuu dunia imefikia pabaya. Watu wamekuwa na roho za kikatili zisizoelezeka. Wahanga wa matukio ya kikatili ni watu dhaifu na mafukara ambao hushindwa kupata haki kwa sababu haki zao huporwa na wenye hela waliowafanyia ukatili. Hizi nyakati sio za kuacha mwanao akakae na kulelewa kwa bibi...
Ndio maana wanywaji wengi wanafanikiwa na hawapungukiwi.
Yaani utakuta Mtu yuko chakali kila siku na sio kwamba ana michongo mikali sana wala nini.
Ni kupitia kanuni ile ile kwamb Wanywaji hawapungikiwi. Hata kama hana kitu bado ana matumaini ya kupata.
Ukinywa Pombe hakuna usumbufu...
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili),
Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi?
Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru.
Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago.
Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
Yani hawa wahitimu wakitaka kuanza biashara unaweza kudhani hata hawakufika chuo, Unakuta mhitimu ana Diploma au Degree ya Business Administraion au Business Management lakini hawezi kufanya haya mambo ya kawaida, inabidi aelekezwe huko kwenye stationery tena wakati fulani anaelekezwa na mtu...
Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member.
Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko.
Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!.
Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI.
Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
Mtoto anasema katumwa kuja kucheza. Nyumba aliyotumwa hakuna watoto ni watu age go.
Namuuliza anasema mama yake kamtuma aje kucheza. Nikauliza baba yupo? Kakajibu ndio.
Je niliyoyawaza mimi Babu Njunju ndivyo au?
Salaam,
Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa.
Username inayotumika ni ipi na Password ni nini?
https://selform.tamisemi.go.tz/Account/Login
Karibuni kwa msaada.
Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao.
JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
Wanajf Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku!
Msimu huu nimebahatika kupata pumba ya kutosha!
Ninaomba anayejua namna nzuri ya kuihifadhi ili niitumie au hata kuiuza hapo baadae ninaomba anijuze!
Lengo ni ili isiharibike!
Msaada tafadhali
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015.
Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.