nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  2. Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  3. R

    Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  4. Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  5. NAHITAJI KUUZA MAYAI NAOMBA MWONGOZO.

    Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
  6. Nahitaji mume miaka 40-70

    Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake. Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
  7. Nahitaji PS4 games

    Niaje!? Eeeh bwana mimi nahitaji hizi game 5. NBA 2K FC mpira RED DEAD REDEMPTION GHOST OF TSUSHIMA GOD OF WAR PS4 yangu haijawa jailbroken! Nipeni muongozo.
  8. Nahitaji Floppy disk drive

    Wataalam wadau wa jukwaa hili. Sina mengi ya kueleza, ila kama kuna mdau anajua duka ninaloweza kupata Floppy disk drive naomba anielekeze, nipo DSM. Asante sana kwa ushirikiano.
  9. NAHITAJI BUSINESS PARTNER

    Habari wakuu. Takribani majuma mawili yaliyopita nilipost thread katika Jukwa ili thread yenye title : NATAFUTA KAZI YEYOTE ILE nashukuru Mungu japo kuwa muitikio haukua positive directly ila indirectly ulinifungua sana akili nakuniwezesha kuona opportunity ambayo inaweza zalisha kipato...
  10. Nahitaji mume miaka 40-75

    Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086. NB: KAMA HUNA MIAKA 40-75 USINITAFUTE.
  11. Nahitaji mume miaka 40-75.

    Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp....... ==>> 0711-297 086. NB: KAMA HUNA MIAKA 42-75 USINITAFUTE.
  12. Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  13. Nahitaji mume kuanzia miaka 45

    UKIWA CHINI YA MIAKA 45 NI MARUFUKU KUNITAFUTA. Hello mimi niko single, nahitaji mume, Miaka 45-75.....awe anajiweza kutunza na kuhudumia mke, familia. Dini yoyote, niko tayari kuwa hata mke wa 2, 3, 4.
  14. Nahitaji Fast charger original

    Wakuu,,, Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai. Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
  15. Nahitaji gari , yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigambo to Sinza .

    Inahitajika Gari yenye Fridge ambayo itabeba samaki kutoka Kigamboni to Sinza. Ukubwa tani mbili Mawasiliano 0658124288, call & WhatsApp Welcome
  16. Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  17. Nahitaji mume mtu mzima

    Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329. UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
  18. S

    Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

    Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV. 1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma...
  19. Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa. Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi...
  20. Nahitaji msaada please kama kuna Dawa nisaidieni napata Msongo

    Mimi tatizo langu kubwa ambalo linaloninyima raha ni kuwa korodani zangu naona si kubwa kiasi kile ambacho ngependa ziwe. Napenda kawe kafurushi flani hivi hata nikiwa sina nguo zinaning'inia (pumbuh mzigo) napenda sana. Hizi nlizo nazo of course demu wengine husema wanazipenda nikiwa nyuma yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…