nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nina mil 7 nahitaji gari IST

    Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali. Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo...
  2. Nahitaji Wheel Chair

    Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
  3. Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural. ANGALIZO...
  4. S

    Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  5. I

    Nahitaji PC Nzima inayofanya kazi kwa Tsh 120,000 nipo Dar

    Habari wakuu, Nina 120,000 cash hapa mfukoni nahitaji PC nzima inayofanya kazi uhakika. Kama kuna mtu umu anauza naomba anichek 0672037238 Nipo Dar.
  6. L

    Nahitaji mwanamke wa kuwa mchepuko umri 20-25

    Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
  7. Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  8. Nahitaji LED TV inch 32 kwa bei ya jumla

    wakuu nahitaji piece 5 ya led tv ziwe star x OG, RISING, SOLAR MAX BEI IWE 290,000 - 300,000 KAMA UNAZO NICHECK 0629 945 110
  9. Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

    Habari waheshimiwa, Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya. Naomba pia muambatanishe na nauli zake. Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya...
  10. Nahitaji wadau/wawekezaji katika madini na gemstone kuna project hapa ya kuiendeleza

    Habari, Kwa wale wadau wanaojihusisha na biashara ya madini leo nina jambo hapa nahitaji tuliangalie. Kumekuwa na uhaba au kutokuwa wazi kwa biashara hii ya madini na vito vya thamani mpaka kuonekana kanakwamba ni biashara ya utapeli au ushirikina wakati ni biashara kama biashara zingiaze...
  11. B

    Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

    Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
  12. Nahitaji kuweka meno bandia

    Habari zenu mabibi na mabwana, Meno yangu ya chini yameoza yaani chini ya meno yanakama ukungu,sasa naona yananiletea show mbaya wakati wa kuongea na kucheka, nataka kuweza ya bandia, je ni hospital ama clinic gani nzuri na bei zao ziwe chini. Naombeni msaada wenu.
  13. Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

    Habari za muda ndugu zangu. Hope weekend yenu imekaa njema Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada. Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi...
  14. Nahitaji karanga kwa wingi

    Habari, Nahitaji karanga kama Tani 100. Naomba kujua wapi nitapata mzigo mkubwa kama huu na bei yake ikoje. Ahsante.
  15. R

    Nahitaji stock broker aliye Tanzania anayehusika na stocks za nje

    Habari Wakuu. Nataka kununua shares za kampuni za nje kwa mtindo wa fractional shares (sliced shares). Naomba kama kuna broker aliye Tanzania anayeuza share za kampuni za nje ( primarily USA) tuwasiliane ili niweze kufungua akaunti kwenye brokerage yake. Cha msingi minimum deposit iwe chini na...
  16. Nahitaji kufahamu nini chanzo cha majipu na tiba zake sehemu za siri

    Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa.. Ni kama uvimbe ulio...
  17. Nahitaji kujua namna ya kufungua Sanduku la Posta

    Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi. Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa...
  18. Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  19. Nahitaji Kibanda cha M-Pesa bei isizidi 200,000/=

    NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=. Wakuu mambo vipi? Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao. Bei isizidi 200,000/= Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe. Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
  20. Nahitaji Mhudumu wa Mgahawa

    Habari za leo wanafamilia! Tuna mgawaha mdogo maeneo ya Chang'ombe maduka mawili Dar, tunahitaj Dada mmoja wa kusaidia kudeliver order na kufata order. Akiwa anaishi mitaa ya huku au angalau gari moja itakuwa afadhali. Posho/ mshahara ni Laki 1 kwa mwezi! Wasiliana na Dada, 0689565965 0655...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…