nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  2. R

    Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  3. S

    Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  4. Nahitaji kujifunza Martial Art

    Wasalaam wazee. Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano. Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri. Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...
  5. Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  6. Nahitaji mwalimu wa Plumbing

    Habari Wana jamii. Nahitaji MWALIMU WA PLUMBING kwa mda wa ziada. Mimi nipo Dar es Salaam kwa mawasiliano 0757950516 namba ipo whatsapp
  7. A

    Nahitaji Air conditioner

    Ya aina za Dual inverter, na vizuri zaidi nikipata makabila ya L.G / Panasonic Wapi naweza kupata na Bei zake zinatembeaje kwa wenye uelewa.
  8. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  9. Q

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  10. Vifaa vya saloon ya kike vinahitajika

    Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used mwenye navyo plz nichek 0783414538
  11. Nahitaji kufungua Duka la Vifaa vya Ujenzi, naombeni msaada

    Habari wakuu! Nahitaji kufungua duka la vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam, sasa naomba kwa anaefahamu jinsi ya kuwapata mawakala wanaosambaza vifaa vya ujenzi baada ya kuagiza toka nje ya Tanzania anisaidie namna ya kuwapata. Au hata kama kuna namna ya kuwa naagiza vifaa hivyo toka nje ya...
  12. Nahitaji Baiskeli ya gear

    Wakuu Niko na Binamu yangu anasoma shule ya day Ila Kuna changamoto ya umbali kutoka nyumbani Hadi shule ni kama kilometa 3½ - 4. Mwenye Baiskeli nzuri used yenye good condition nistue
  13. F

    Nahitaji kijana wa kufanya kazi ya kuuza spare parts Pwani

    Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida. Nahitaji kijana ambae ataifanya kazi akiamini hii itamsukuma kimaisha. Mimi ni entrepreneur mdogo na hili ni duka dogo...
  14. M

    Kilimo cha mpunga nahitaji kuwa na mtaji wa shilingi ngapi?

    WADAU napenda mwaka huu nianze kilimo cha Mpungu huku IFARAKA kwenye mwezi wa 12. Mnishauri ni Sh ngapi inahtajka kwa heka 20 na kila heka inaweza kunipa sh ngapi. Wenye uzoefu kama Masanja Mkandamizaji naona kufahamu kiundani zaidi kabla sijadumbukiza hela zangu huko
  15. Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya bakery Arusha

    Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
  16. Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  17. M

    Zipi FAIDA na HASARA za kukaa mbali na unakofanyia kazi?

    Habarini wandugu... Kuna jamaa anakaa mbali sana na anapo fanyia shughuli zake. Yule jamaa kapanga Kivule halafu shughuli zake anafanyia Bunju(kwa wenyeji wa DSM wanaelewa shughuli yake ulovyo huo umbali) nadhani 23 km na kidogo inaweza fika. Sasa nikashindwa mshauri maana sababu yake kubwa...
  18. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  19. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  20. Nahitaji Kusoma Masters ya Project Management au Diploma ya Finance and Accounting

    Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF! Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu. Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…