nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji 'Kudanganywa' zaidi kuwa Maafande akina Mbuge na Gaguti wametumbuliwa kama RC's ili Kupandishwa Vyeo vya Kijeshi

    Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini? Kazi ipo.
  2. Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  3. Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  4. Nahitaji kununua sola, ushauri wenu please

    Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo. 1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba 2 Kuwasha TV 3 . Redio 4. Kichaji Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo A. Ukubwa WA panel B ukubwa WA inverter B. Nyaya C.mahitaji mengine Nitafurahi kama...
  5. Nahitaji dawa ya kupunguza nguvu za kiume

    Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume, ni hali ambayo inanisababishia changamoto kadhaa katika mahusiano yangu yote. Naweza kupiga pump non-stop mpaka masaa manne mfululizo na mashine bado inakua na hasira kama nyati aliejeluiwa ila sasa mwenzangu anakua tayari ashachoka sana sometimes...
  6. N

    Nahitaji connection AUWSA - Kuunganishiwa Maji Taka Kwa Haraka

    Kwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka). NB: 1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji) 2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s Karibu PM tuyajenge/tumalizane
  7. Nahitaji connection

    Wakuu Habari zenu Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma div2 ya 10 unapata kozi yoyote ya afya.. Dogo Kavurugwa anataka kozi za afya Nime jaribu kumshawish...
  8. S

    Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  9. Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

    Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
  10. Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie. Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya kunywa kwa kutumia muda wako. Natanguliza shukrani.
  11. T

    Nahitaji baiskeli aina ya Phoenix

    Hellooo wakuu habarini, Nahitaji kufahamu panapouzwa baiskeli aina ya Phoenix nahitaji kwa wingi sana kama mia moja au mia mbili nisaidieni location au namba za WAUZAJI Mawasiliano yangu ni +255686978566
  12. MWENYE ANAUZA HIVI NAHITAJI.

    Nahitaji viti kama hivyo mwenye anavyo vipya nataka saba aje PM na bei yake
  13. G

    Nahitaji Canter Tipper (dump a.k.a inayobenua)

    Maelezo zaidi Engine 4D (33-35) Spring iwe juu Gari iwe kwenye hali nzuri. Bei 19m (negotiable kidogo) Check me pm
  14. Nahitaji kuzifahamu hizi bunduki

    Hi inaitwa Tavor, Naomba kuifahamu zaidi kuwa ina inauwezo gani na Ni Aina gani. Ya pili Ni hi Inaitwa double barrel Gilboa snake rifle, Sijaelewa inakazi gani maana Naina in sehemu mbili za kutoa risasi Sasa sijajua inakazi gani. Na nimeona hata Jwtz wanaitumia Sasa sijajua inakazi gani...
  15. Nahitaji Laptop Dell au HP Bajeti yangu ni 350k

    Ram4 Hardidisk 500gb Processor 2.50ghz Corei5, Charge 4 hours Bei 350k
  16. H

    Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

    Thread closed. [emoji1374]
  17. Nahitaji used gas oven

    Habari. Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500. Note: iwe used. Iwe Dar Pwani au Morogoro Call/Whatsapp 0652494919
  18. MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  19. S

    Nahitaji Battery used ya Toshiba satellite

    Habari wakuu Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086 Models PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
  20. Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…