nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji mchai chai kilo 500

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass) Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji uvumilivu

    Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu. Kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri. Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji passport ya kusafiria

    Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho. Natanguliza shukran🙏
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa Dini yeyote
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha blog

    Habari zenu wana jf, nimepata wazo la kuanzisha blog, nahitaji kufahamu faida na hasara kuhusu blog, kwa wale wanaojihusisha na hii kitu maana bado nahitaji kufahamu zaidi kuhusu blog. Karibu.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Fenugreek Seed

    Nahitaji fenugreek seed nipo mkoani Mara anayeuza anicheck please
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua gharama ya kujenga msingi wa nyumba hiyo

    Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kifaa cha kuwasha taa za solar Outomatically

    Habari Wakuu,, Kutokana na changamoto ya kukatikakatika umeme huku ninakoishi, Sasa nimeamua kununua solar(Umeme wa Jua). Hivyo basi, kutokana na shughuli zangu huwa narudi nyakati za usiku home, kuanzia mida ya 1:30 - 2:00 usiku na familia yangu imeindoka kwa muda. Nahitaji nipate kifaa...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji chaja yenye Output kubwa

    Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji Oven ya Kuokea mikate ya Meza ya Bwana.

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji alluminium Sheets.

    Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963, size inayotakiwa ni mm 0.2
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu baada ya changamoto sasa nahitaji ajira ya office attendant serikalini .

    Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani . Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa. Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne. Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant . Nina Cheti cha form...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji wawekezaji kwa wazo langu

    Habari wakuu! Suala ni hili wakuu, Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ). Pia saivi niko...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  19. JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua NMB chap chap account

    Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…