nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi haimfaulishi mwanao shuleni

    Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao. Tabia ya kuangalia mtoto ameshika nafasi ya ngapi darasani imekuwa endelevu kwa miaka mingi sasa wazazi wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Hapo vip! Binafsi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana dhidi ya Marekani kujinasibu Duniani ya kwamba ni Baba wa Demokrasia na haki ila haijawahi kutawaliwa na mwanamke hata nafasi ya makamu wa rais ni lulu kwa mwanamke. Je, kuna siri au sababu gani wanayoijua hawa wazungu... NB: Tukumbuke...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bashe na Aweso mnazitendea haki nafasi zenu

    Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

    Mkuu SHOMBE la Kisomali, uwanja wako wa nyumbani huu sasa.ushindwe mwenyewe kujidai
  6. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nafasi ya elimu ya Tanzania katika kuzalisha wataalamu wa Kiswahili duniani

    Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
  7. JamiiForums Tanzania Kushika Nafasi ya 7 Mashindano ya Dunia ni Ushindi Kwetu.

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita. Kwa upande wa Mwanariadha...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tecco.

    TECCO is an organization which provide loans to small and medium scale farmers and entreprenuers in Kondoa and Ruvuma regions. We are looking for loan officers at our branches( Kondoa and Ruvuma). Job Responsibilities: - Conduct members recruitment and screening. To orient clients to the...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Internship

    Mimi kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya Land and Mine surveying natafuta nafasi ya Internship kwa kampuni yoyote inayojihusisha na masuala ya land surveying nipo Dodoma namba yangu 0699239068.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Habar za majukumu wanajamvi, Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba. Bahati mbaya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
  12. JamiiForums Tanzania NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

    Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao zilipelekwa katani na nyie majina mnayo waiteni hao watu kwani kama ni mkataba nyie ndio mmeuvunja...
  13. JamiiForums Tanzania GSM mna nafasi ya kulinda utu na kumfichia aibu Manara

    Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc. Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM...
  14. JamiiForums Tanzania NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Ndio hivyo majina ya sensa yametoka lakini nafasi zilizorudi ni Karani wa sensa na Afisa Tehama tu, Na baadhi ya maeneo ndio Kuna wasimamizi wa maudhui. Kumbe hizi nafasi za usimamizi wa maudhui (content supervisor) wamewekewa walimu wakuu! Kwanini Toka awali hiki kipengele msikitoe? Kumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Usipuuzie ndoto, tafsiri ya ndoto huleta maarifa ya kina kunako ujumbe husika. Ndoto ni jambo la kushangaza ambalo hufanyika na kutokea majira ya usiku na huwa ina maana ya ndani zaidi nyuma ya uzoefu huu wa ulimwengu wa kawaida. Ndoto ni hifadhi ya ujuzi na uzoefu, lakini mara nyingi hupuuzwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  18. JamiiForums Tanzania Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

    Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+ Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee... Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+. Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya Internship

    Wakuu habari. Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa. Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB Makazi Dar es salaam Umri :20's Mawasiliano: 0787460347
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 56 (African Wildlife Foundation ) - Deadline 18 July

    Not Useful
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…