nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kidato cha tano 2023/2024

    Yes
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi Moja ya Kazi Kwenye Shirika la Ndege ni kwa Mwenye Vigezo Hivi

    Me sina cha kuongezea maana nasoma na kurudia kusoma, huyu mtu anayetakiwa hapa ni wa namna gani!.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga wanayo nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali. Wasishangilie kabla wajipange

    Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni timu ya kawaida na wanauwezo wa kuitoa. Yanga ilivyopangwa na Rivers United, viongozi na baadhi ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hakutakuwa na hand shake safari hii kila kitu kichukue nafasi kwenye bunge na mabaraza ya wawakilishi

  6. JamiiForums Tanzania NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kucheza robo fainali, timu za Shirikisho zilitakiwa kucheza Play off na timu ya nafasi ya 3 Champions league, CAF wanakosea

    Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa League Hata CAF walitakiwa kufanya utaratibu huu ili kuzichuja timu vizuri Mfano Monastir...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bi. Sophia Edward Mjema sioni kama atadumu kwenye nafasi ya uenezi kuelekea 2025

    May be CCM imekosa watu sahihi sehemu sahihi: unapozungumzia Katibu wa kueneza (Mwenezi) tunatarajia awe mtu mwenye uwezo wakueneza, Mtu wakuweka mambo kichwani (anasoma machache anazungumza mengi) , mwenye maarifa na anayeifahamu nchi kijiografia na kimtawanyiko WA silka na Tabia. Huyu mama...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  12. JamiiForums Tanzania FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
  14. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

    Tufanye kwamba factors nyengine zote zinafanana kati ya mwanaume mfupi na mrefu isipokuwa kimo cha urefu pekee. Mwanaume mrefu mfano akiwa futi 6'2 ana uwezo wa kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mwenye urefu wa 5'5. Wote hao wanaweza kuwavutia wanawake wenye urefu sawa na chini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwenye ekaristi takatifu ni Yesu au Mungu katika nafasi tatu??

    Kwa wakristo wanaoamini Imani ya TRANSUBSTANTIATION, kwenye mkate na divai, pale ni Yesu peke yake yupo? Maana Mungu ni mmoja na hagawanyiki. Basi tulipaswa kusema pale Yuko Mungu katika ukamilifu wake, katika nafsi zote tatu, ama sivyo basi yupo Yesu katika Hali yake ya kibinadamu tu na umungu...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi katika Mgodi Wa Barrick Shinyanga-Fundi Mitambo (HD Mechanics)

    HD Mechanic Shinyanga, Tanzania, United Republic of TRENDING JOB DESCRIPTION JOB ADVERT - HD MECHANICS (01 VACANCY) Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit HD Mechanics to join our team. The successful candidate for this position is expected to align with the Barrick DNA and drive a change...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa za maandamano zinataka kuchukua nafasi ya uchaguzi

    Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, na Tunisia kuna maandamano yanayoongozwa na wanasiasa walioshindwa katika uchaguzi. Hii inaashiria kuwa hatuna wanasiasa ambao wanakubali kushindwa katika uchaguzi;ikitokea wanashindwa wanahamia kwenye maandamano na kuhujumu utendaji wa serikali zilizoshinda na...
  20. JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…