nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  2. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ligi yetu inapanda viwango, ipi nafasi ya timu yetu ya taifa?

    Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya nchi na wengine wamepata nafasi ya kucheza soka ndani ya nchi. mfano oppa Clement. chanzo (...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Keda Ceramic - Twyford Tiles

    Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tuamke tuchukue nafasi zetu

    Jamii inatarajia kuona maendeleo katika kila eneo hasa kwa vizazi vijavyo.Wazazi wanajitahidi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora na mahitaji muhimu ya kila siku,hata wale wenye kipato cha chini hawako nyuma kuhakikisha watoto wao hawabaki nyuma kielimu. Katika ulimwengu huu wa teknojia...
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

    Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU). Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
  7. JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

    Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili. Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

    VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6. Wadhamini wanatakiwa watatu. ZINGATIA Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto Kubwa Kwa Jamii - Nafasi Nyingi za Uongozi Zinashikiliwa na Wasio Na Sifa za Uongozi

    Jamii yetu ya Tanzania kama zilivyo jamii zingine, inakabiliwa na changamoto lukuki, tofauti iliyopo kati ya jamii yetu na zingine ni aina ya uongozi bora na jinsi unavyojikita katika kutatua changamoto hizo kwa wananchi wake, na hatimaye kuleta maendeleo makubwa kwa wananchi wao. Kuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

    Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26. Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe. Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu Nawashitaki Is there any lawyer for hire out there?
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yapewa nafasi ya mwisho kesi vigogo wa bandari

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa nafasi ya mwisho kwa Serikali kabla ya kutoa uamuzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake watano. Hatua hiyo inatokana kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022...
  15. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Vijana Wana nafasi kubwa ya kuzuia rushwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema vijana wana nafasi kubwa ya kupambana na vitendo vya rushwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo inakutanisha kundi kubwa la vijana. Melo amesema hayo wakati akichangia mada kwenye Kongamano la Mapambano dhidi ya Rushwa linalofanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini hela mpya zinazotoka bado zina sain za viongozi waliotolewa kwenye nafasi zao

    Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao. Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
  17. JamiiForums Tanzania Magomvi kwenye ndoa huwapa nafasi kubwa mafisi

    Wake za watu wengi hupatwa na hili tatizo chamzo ni migogoro
  18. JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay ashika nafasi ya pili, 10K Atlanta nchini Marekani

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku chache zilizopita alizokimbia Boston B.A.A 10K na kutumia muda wa dakika 27:49. Mashindando hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Ningepata nafasi ningemshauri haya Rais Samia

    Wanabodi, Mama Samia ni Rais na kiongozi wa taifa letu, ni msikivu na mnyenyekevu sana, mwenye subira na utulivu sana wa kusikiliza na kuchambua mambo kabla hajafanya maamuzi na anapofanya maamuzi yake anayasimamia, huku akitoa nafasi ya kukosolewa sana bila kuwa jazba wala kutumia manguvu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumtongoza mwanamke fanya bila kusita

    Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari! Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja wake. Inabidi niendelee tu kumtamani kwa mbali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…