Habari Wanajf?
Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika.
Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
EMPLOYMENT OPPORTUNITY – PASADIT TANGA
PASADIT is a non-governmental organization operating under the Catholic Diocese of Tanga. PASADIT strives to ensure that the Most Vulnerable and Marginalized groups have dignity and secure life through social accountability, capacity building, service...
Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa?
Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale wanaopatikana. Sisi tumekuwa hodari wa kukuza watu wasiotumika wanaondoka kwenda kujitafutia huko...
Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023.
Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
Mpaka sasa Israel inaendelea kusambaratisha kila kitu na kukata huduma zote, wakimbizi 250,000 wamekusanyika wakitegemea UN, misaada inaendelea kukata, mataifa ya Kiarabu yametanguliza Misri ibembeleze Israel iachie nafasi kidogo ya kufikisha misaada.
Hii ni hali ya hovyo sana, kuanzisha choko...
Habari wanajamvi
Nimefuatilia placements nyingi za kazi lakini kuna jambo nimegundua unakuta wakati tangazo la kazi linatoka serikalini labda linahitaji watu 20 lakini watakaoajiriwa ni 12 tu shida ni nini...? Ni kwamba vijana sikuizi hawajiriki ndoo maana baadhi nafasi kukosa watu na kua...
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika.
Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio.
Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini?
Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi.
Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.