nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania AIIB yachukua nafasi kubwa katika maendeleo endelevu barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri wa Fedha wa Misri Mohamed Maait alipongeza nafsi muhimu inayochukuliwa na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) katika maendeleo endelevu barani Afrika. Akizungumza kabla ya mkutano wa Bodi ya Magavana wa AIIB uliofanyika mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri...
  2. JamiiForums Tanzania Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

    Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
  4. JamiiForums Tanzania Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
  5. JamiiForums Tanzania Wao wakishinda magoli ya offside na nyie shindeni pia ya hivyo hivyo. Mambo ya kulalamika wakati wewe umeshindwa kutumia nafasi hayana maana

    Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuanza kulalamikia bao la John Boko kuwa alikuwa offside naona ni kupotezeana muda tu, Boko kafanya home work yake iliyomfanya awe uwanjani na kaikamilisha na refa karuhusu kuwa ni goli halali makekele ya nini? Ukiona mwenzako anatumia mbinu za kimafia kushinda...
  6. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  7. JamiiForums Tanzania Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
  11. JamiiForums Tanzania Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Mauzo

    MAPADA SOAP is an industry that deals with the production of soap. The industry is located in Ilala District, Dar es Salaam, Tanzania. The industry is situated at the foot of Banana Bus Stop, 6.8 km from Kitunda. Plot.Mzg 19. Phone: +255765180704, +255627753135, Email: mazingirapacha@gmail.com...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Gerson Paskali anaichukua.

    Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla. Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco. It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi. Mungu amtangulie huyu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hateui Wanawake wengi na kuwapa nafasi?

    Rais Mwanamke wa kwanza Tanzania lakini cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuachiane nafasi

    Siyo unambanaaa, mpaka anakosa hamu ya mahusiano kabisa. Sawa upo nae lakini kuna muda anapaswa apate wakati wa kuwa peke yake. Kuna muda mtu anakuwa na mambo yake binafsi, mawazo yake binafsi na huwezi kutaka kilakitu chake ukijue. Kila mtu ana private yake (mtakataa ila ndiyo ukweli). Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama anaamini wananchi hatuijui katiba ya sasa, yeye mwenyewe akae pembeni maana hatujui hiyo nafasi kaipataje

    Ni rahisi sana kujitamkia maneno hasa unapokua na mamlaka ya kuitisha vyombo vyote vya habari virushe habari zako hata kama hazina mashiko. Ndio, ni rahisi kutamka lolote hasa kama mtu anaamini hakuna wa kumgusa. Ndivyo ilivyotokea kwa mama yetu hapo juzi. Ni wazi mama na CCM wala keki ya taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Tuna Nafasi Moja Kwa Clinical Officer Kufanya Field Au Volunteer

    Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer. Wasiliana nasi kwa 0713 039 875 kwa maelezo zaidi. (Siko hapa jukwaani muda mwingi, tumia Simu)...
  20. JamiiForums Tanzania Manchester United kumsajili Anwar El Ghazi ili kuziba nafasi ya Antony na Sancho

    Manchester United inahitaji winga wa kulia baada ya Antony kutakuwa kuwa nje ya klabu kwa muda wakati akishughulikia kesi zinazomkabili wakati Jadon Sancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na kocha wake, Erik ten Hag. El Ghazi (28) ni mchezaji huru, aliondoka PSV Eindhoven, wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…