nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wanaohamasisha uzinzi sio Nabii Tito peke yake, na Masanja Mkandamizaji yumo

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Masanja Mkandamizaji anamsisitiza Diamond awape mimba wanawake kutoka nchi zote Africa Mashariki. Huyu mchungaji chenga sana, anaacha kuhubiri toba na kuacha dhambi yeye anasisitiza Diamond awape mimba haraka huko nchi ambazo Bado Kisha aoe. Dini imevamiwa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukijua kuichambua LOGIC raha sana. Unaweza kujiona Nabii kumbe ni Saikolojia tu

    Sitaongea mengi sana! Lakini naomba kuwatafsiria jambo ili msipate tabu kuelewa! LOGIC 1. Ukiona unayedhani alikuwa ni bikira anaamua kujitangaza rasmi mtandaoni kuwa ana mimba basi tambua kwamba kashajifungua mtoto tayali! WHy? Ni kwasababu kama aliweza kuficha asijulikane kama anazini...
  3. mediaman

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Aliyehujumu mkutano wa Injili wa nabii Mwamposa hadi watu wakakanyagana na wengine kufa anakaribia kujulikana!

    Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi. Muhujumu wa mkutano ule wa Injili yu mbioni kuumbuka. Eid Mubarak!
  5. Heci

    JamiiForums Tanzania Nani atakayetegua hiki kitendawili cha Nabii?

    UZI HUU SIO WA KIDINI LICHA YA KWAMBA IMETUMIKA MIFANO KUTOKA KWENYE VITABU VYA DINI, HIVYO NAOMBA USIPELWKWE KWENYE JUKWAA LA DINI. Waislamuini Korani na Wakristo wanaiamini Biblia, wote wanaungana katika hili simulizi moja la mwanzo wa mwanadamu. Wote wanakiri kuumbwa kwa Adamu, wanakiri...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
  7. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anamfahamu huyu nabii David Stefano Mpanji wa Mbeya?

    Huyu bwana nabii anaitwa david Stefano Mpanji ana unguruma sana huko Mbeya na anapigwa sana vita na watumishi wengi wa mungu huku na yeye akiwa ni mrusha madongo mzuri kwa wenzake. Kanisa lake linaitwa GMCL pia ana radio ambayo pia inaitwa GMCL ambako huko ndio hubwabwaja sana na si kumhubiri...
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Nabii Elia wa Upareni

    Katika muendelezo wangu wa kuwasakama watani zangu Wapare, leo nitamtambulisha mpare mmoja aliyekuwa kiboko ya wapare wenzie. Mpare huyu alijiita Nabii Elia (Eliya) wa upareni. Mtu huyu alikuwa ni wa kutokea pande za Usangi ila akahamia Same Kisiawani kwenye Milima pembeni ya njia ya...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wanabodi, Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje? Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza...
Back
Top Bottom