Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!.
Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!.
https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu
Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla wake huwa ni hofu tuu na kutotulia kwa akili...
Hawa watu wanakutia hofu zaidi halafu kimbinu...
Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.
Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.
Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
Huyu Prophet Denis alitoa unabii wake Mei 11, 2025 kuhusu moja ya kiongozi ambaye ni mkuu wa mkoa anaoneka kukubalika na watu sana kwahiyo kutokana na kukubalika kwake akajiona anastaili kugombea ubunge lakini si mtu mzuri kabisa na Mungu amemkataa. Sasa ni nani huyu ?
Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais...
Nabii Mtalemwa amesema madhara ya kunyamazisha watu wasihoji ni makubwa mno. Amesema "hali inakuwa mbaya zaidi pale wanapowaambia watumishi wa Mungu wasiongee kwa sababu hawataki kusikia mambo ya haki."
Apostle amekumbushia hata zamani wafalme waliwabana manabii na kufanya kuwa wasipoongea ndio...
Wakuu tushirikishane hili jambo. Katika Biblia, nimesoma kwamba, (awali) Mungu alipokuwa sanjari na Waisraeli. Kuanzia Musa mpaka Joshua.
Baada ya hapo, Waisraeli wakataka wawe na mfalme wao. Wakampata Sauli. Lakini hakuenenda sawa na maagizo ya Mungu.
Sauli akatolewa, Mungu akamweka Daudi...
Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili.
Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti.
Nakupa mfano mmoja, Daudi...
Salaam!
Watu watofaitishe uchungaji na unabii,
Nabii ni kinywa Cha Mungu, Hakika Mungu akitaka kuongea na wanadamu, hutumia kinywa Cha nabii kufikisha ujumbe wake, utasikia anaongea Lema ,ila kumbe asemaye ni Mungu mwenyewe KUPITIA kinywa Cha Lema.
Nimesikia mara kadhaa hotuba za Mh Lema Leo...
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Kila mtu anaamini katika Imani yake.
Hivyo Kila mtu aiombee Simba katika Imani yake.
Haya ni maono ya mtumishi ww Mungu.
https://www.facebook.com/share/r/1E2SjxMTA3/
https://vm.tiktok.com/ZMS8mPPVf/
https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
Bob Marley alizaliwa na mama mweusi na baba mweupe.
Japo alikuwa na ukoo mweupe, Bob Marley alijitambulisha kama Mwafrika Mweusi na alikuwa mtetezi hodari wa Pan-Africanism.
Hili lilidhihirishwa na onesho alilofanya huko Roma- Italy mwaka 1980 na kujaza uwanja kwa idadi kibwa ya watu kufikia...
Hii ni picha ya miaka ya 1970s. Unaowaona hapa kwa tafsiri ya haraka unaweza sema ni mabinti walio na furaha na tabasamu pamoja na amani mioyoni mwao. Picha hii ya pamoja ni ya waumini wakiwa pamoja na mchungaji au Nabii wao ,wakieneza injili ya neno la Mungu na kuhubiri UPENDO kwa watu...
Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa.
Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo:
Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu.
Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.