nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

    @prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA @prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mama yako ndiye nabii nambari 1 kwako

    Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga. Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara. Mama yako akimwona mchumba wako tu anajua kuwa umepigwa au penyewe sema tu wamama huwa na tabia ya kupuuzia. Msikilize mama yako kijana
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa asipuuzwe huenda ni Nabii

    Achana na kina mwamposa janjajanja ya mjini hakuna lofoten ila huyu LEMA huenda akawa Nabii asilimia 75% ya mambo ambayo alikwisha sema au atakayosema kuhusu mtu fulani basi bila shaka hutokea. Akifungua kanisa atajaza watu kama kumbikumbi .
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

    Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl . Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Yesu Hachukuliwi Kama Nabii kwa Wayahudi?

    Yesu alizaliwa Myahudi, aliishi katika mila na desturi za Uyahudi, na alitumia maandiko ya Torati na manabii waliomtangulia kama msingi wa mafundisho yake. Hata hivyo, Wayahudi hawakumkubali kuwa nabii wala Masihi. Swali kubwa ni kwa nini? 1. Kigezo cha Nabii kwa Uyahudi Katika Uyahudi, nabii...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Watu wa Neno(Biblia) Hilo chukizo la uharibifu lilonenwa na nabii Danieli ni chukizo la namna gani?

    Danieli 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu. Yesu pia alisema kuhusu hilo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Anayeshambuliwa siyo Tundu Lisu bali kinashambuliwa “ Kibali” kilicho ndani yake, ilifanyika kwa Yusuf na Daudi pia!

    Chawa ndio watahangaika na ama ule wanaoita Uropokaji wa Tundu Lisu ama u much know wake lakini katika dunia ya Leadership hivyo ni vitu vidogo sana Wanaomshambulia Tundu Lisu wanapiga Vita Kibali alichonacho kwa sababu Werevu wa dunia hii huiangalia zaidi kesho yao na siyo Jana Ninajua Lisu...
  11. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nabii Issa ameshuhudia na kutabiri mwenyewe kwenye kurani 19:30-31 kuhusu , siku ya kufa na kufufuliwa kwake

    Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29) (Yule mtoto) akasema: “Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii. Amenifanya mbarikiwa popote...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  14. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🤣🤣🤣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🤣🤣🤣

    Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  18. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli Wakiristo na Mayahudi duniani hawamkubali Nabii wa mwisho Mohamed kwakuwa siyo Myahudi

    Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
Back
Top Bottom